Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,658 Apr 5, 2017 #42 Ni hali ya kawaida, mvumilie tu kama kweli unampenda. Wengi huanza wakiwa wadogo na kama wewe ni mkristo basi huo ni msalaba kwako kama Simon wa Kirene alivyoubeba kwa niaba ya Yesu.
Ni hali ya kawaida, mvumilie tu kama kweli unampenda. Wengi huanza wakiwa wadogo na kama wewe ni mkristo basi huo ni msalaba kwako kama Simon wa Kirene alivyoubeba kwa niaba ya Yesu.
Odoemma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 828 Reaction score 876 Apr 5, 2017 #43 Haahahaa yaani angalia vizurii maan atachoka kurafuna meno atakutafuna wewe!
Odoemma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 828 Reaction score 876 Apr 5, 2017 #44 ukhuty said: Click to expand...
mamsapkhan JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 843 Reaction score 267 Apr 5, 2017 #45 Ni uchimvi huo
chiefnyumbanitu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 906 Reaction score 426 Apr 5, 2017 #46 Ni tatizo lisilo na madhara yoyote lkn fatilia ushauli unaofaa kwa wadau na ushauri wa kipuuzi na vijembe watoavyo wendawazimu wengne achana nao
Ni tatizo lisilo na madhara yoyote lkn fatilia ushauli unaofaa kwa wadau na ushauri wa kipuuzi na vijembe watoavyo wendawazimu wengne achana nao
LadyAJ JF-Expert Member Joined Oct 21, 2015 Posts 7,173 Reaction score 9,656 Apr 5, 2017 #47 Cha kufanya ni kumsaidia kuvuka hicho kizingiti jitahidi kila akitafuna uwe unamuamsha baada ya muda atajikuta ameacha
Cha kufanya ni kumsaidia kuvuka hicho kizingiti jitahidi kila akitafuna uwe unamuamsha baada ya muda atajikuta ameacha
T tekategula Senior Member Joined Mar 27, 2017 Posts 171 Reaction score 97 Apr 5, 2017 #48 ukhuty said: Tukutane kwa madiba itakuwa poa zaid Click to expand... Ohoooo naonakumekucha hivi hamuogopi?hujue tunawaona
ukhuty said: Tukutane kwa madiba itakuwa poa zaid Click to expand... Ohoooo naonakumekucha hivi hamuogopi?hujue tunawaona
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,329 Apr 5, 2017 #49 Bengazuu said: Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno Click to expand... Naunga mkono hoja 😀
Bengazuu said: Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno Click to expand... Naunga mkono hoja 😀
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 5, 2017 #50 Bengazuu said: Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno Click to expand...
Bengazuu said: Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno Click to expand...
Mp nyanso Member Joined Nov 8, 2014 Posts 95 Reaction score 8 Apr 5, 2017 #51 mshauri aanze mazoez ya kutafuna vyuma, hopplly ataacha22222222
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,055 Reaction score 16,509 Apr 5, 2017 #52 ipo siku atakutafuna na wewe take care
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Apr 5, 2017 #53 Huyo atakuwa mwanga tu sio bure
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Apr 5, 2017 #54 Bengazuu said: Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno Click to expand...
Bengazuu said: Huwa humnunulii nyama hasa nyama choma so anafikisha ujumbe kwa hisia mno Click to expand...
I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,662 Reaction score 2,569 Apr 5, 2017 #55 mbere said: Analishwagwa nyama za watu Click to expand... hiki kitu nishawai kusikia mkuu
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Apr 5, 2017 #56 KENZY said: poa leo lkn punguza kelele! Click to expand... vuvuzela kitandani?!
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,794 Reaction score 86,552 Apr 5, 2017 #57 husna muba said: vuvuzela kitandani?! Click to expand... sivyo navyomaanisha
chuganian JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,067 Reaction score 1,112 Apr 5, 2017 #58 Bengazuu said: Afadhali maana ungekuja kula pm sasa ivi Click to expand... nyama choma au
bizzle for shizzle JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 1,013 Reaction score 742 Apr 5, 2017 #60 Analishwa nyama na wachawi tena nyama za watu hizo. SERIOUS mkuu hao ni wachawi wanafanya yao