Mpenzi wangu anatafuna meno usingizini

Karibu sana hakikish mbegu unayotak kupanda iwe imekomaa
hii ni mbegu karne,haijalishi mgumba wala mjane!
sema wapi tukutane,ghetoni au chumbane..?
 
Hii hata mie huwa inanitokea Mara moja moja sana... Ni kawaida tu kama kukoroma..
 
perhaps atakua mfuasi wa miraa
 
Kuna mambo ya kuvumiliana kwenye mahusiano,mojawapo ndo hilo,so dont take it seriously as long as it does not affect you
 
Mlambishe pilipili kichaa ni dawa nzuri... atapona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…