Mpenzi wangu anapiga punyeto

Hivyo ikizoeleka mwanamke hawi na thamani mbele ya hiyo kitu. Duuh.

Pole yao. Ila si huwa inaweza kuachika hiyo kupiga punyeto?
Wanaopiga nyeto ni sawasawa na watu wanaobet wanapoanza ni vigumu kuacha ila inahitajika elimu juu ya athari zinazosababishwa na punyeto ili watu wakawa makini kujihusisha nahii starehe yao chaputa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
[emoji23] [emoji23] huoni jamaa ameletewa papuchi mwanamke amevua nguo kabaki mtupu lakn jamaa anaona kawaida tu
Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini swahiba na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
 
Mmh. Kwani wanaopiga hayo mapunyeto huwa hawana hisia na wanawake au ni kwa sababu hawana wanawake ndio sababu wanaona hiyo punyeto ndio suluhu?

Nauliza tu sababu naona kama kuna ukakasi hapa.
Swaiba siku zote mpiga punyeto lazima avute hisia kwamba anafanya mapenzi na mwanamke fulani anaemvutia (hawajakosa hisia na wanawake)

Mtu akiwa addicted na punyeto humuwia vigumu sana kuacha, hata awe na wanawake kama mfalme Sulemani asipopiga pull haridhiki kabisa. (Kutokua na mwanamke inaweza kua sababu na kwa other side isiwe sababu)
 
Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
true dat
 
Wanaopiga nyeto ni sawasawa na watu wanaobet wanapoanza ni vigumu kuacha ila inahitajika elimu juu ya athari zinazosababishwa na punyeto ili watu wakawa makini kujihusisha nahii starehe yao chaputa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Kweli kabisa kama ina athari hivyo ni vyema ikatafutiwa tiba ambayo ni elimu yenye kuelezea hasara na faida pia kama zipo ili kuokoa kizazi cha vijana wanaojitumbukiza huko.
 
Kama nimekuelewa vizuri hivyo wale wa punyeto haiwezekani kutokuwa na hisia hata kidogo kwa mwanamke au zinapotea zote?
 
Puchu ni ajabu? Hukujua anahitaji nn mpaka kuamua kupiga punyeto?

Mpe tunda bana
 
Mmh. Sijui lakini sababu najikuta siamini amini. Mwanamke akiwa mtup* ana mvuto wake lakini swahiba na ni ngumu kwa mtu aliyekamilika yaani hata asishituke. Mmh.

Ila kama ni kweli amtafutie tiba tu sababu kuna raha anazikosa.
Huyo keshajiharibu yaan amefunguliwa kipochi manyoya wala hashtuki ni tatizo sana
 
Hivi hadi sasa hivi kuna wanawake ambao hawajui kuwa punyeto ni tamu kuliko k?

Hapa naskikiza Dw habari nasubiria iishe nikapige kimoja akili akae sawa baada ya miangaiko ys siku ya leo....

Poleni sana wanawake uchwara...
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kweli kabisa kama ina athari hivyo ni vyema ikatafutiwa tiba ambayo ni elimu yenye kuelezea hasara na faida pia kama zipo ili kuokoa kizazi cha vijana wanaojitumbukiza huko.
Yeahp dada emmyta na kinachowathiri zaidi ni kuona filamu za ngono inabidi waache"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…