Mpenzi wangu anapenda ninavyovuta sigara

Mpenzi wangu anapenda ninavyovuta sigara

Huyo alikua anakula shisha na mabwana zake wa awali kwenye kumbi za starehe.

Jitambue mkuu.

Every girl you meet in this world is ex of someone,
Yeye ndiye aliyekuja kwangu,!!!
 
Every girl you meet in this world is ex of someone,
Yeye ndiye aliyekuja kwangu,!!!

Ndo nikakwambia usijione kakupenda sana. Kaja kwako baada ya kuachwa.
na huwa anavuta picha ya mshikaji na sio wewe.
 
huko vyuoni huwa mnaenda kusomea ujinga?

Ujinga gani hapo? Smoking is an interest, but when someone used that interest to express her feelings over you, afu inafika time you want to quit, inakua shida, vitisho mob!!! Understand my point man!!
 
Ndo nikakwambia usijione kakupenda sana. Kaja kwako baada ya kuachwa.
na huwa anavuta picha ya mshikaji na sio wewe.

Duh!!! Kwani wewe ni Mjinga? Mbona logic ndogo hiyo?
 
Sijui ndo kichaa cha mimba hicho!!!
Ila you have to think twice dear bro, kuvuta sigara ni hatari kwa afya yako. Kwa uamuzi ambao uliufikia wa kuacha sigara, ilikuwa ni decision nzuri ambayo yeye alipaswa kukusupport kwa asilimia zote.
yeye kwanini havuti?
anajua athari zake?
 
Ahahaha Umechimbwa Bit, Nawewe Unaelekea Kwenye Udr Nini Mwanangu, Maana Nimeanza Kuwa Na Mawenge Na Hawa Wakubwa, Kuna Haja Ya Kusoma Kidogo Tu Wewe Na Kadgrii Kako Basi Unatulia Maana Kama Wasomi Ndio Hawa!
 
endelea tu..ila awe wakwanza kupitisha daftari la michango ya kwenda kutibiwa india
 
Wengine wakiwa na kijacho hawatoki chooni...tena huku kwa matola ndio balaa
 
I have been smoking it's seventh year now. 47pro Tafadhali Iwe hivi I have been smoking for seven years now. English form two matumizi ya FOR na SINCE ama PRESENT PERFECT PROGRESSIVE.



i have been smoking for seven year, not necessary to add now
 
Last edited by a moderator:
Mwambie sasa akuongezee packet 3 kwa siku sasa ili mtoto azaliwe na weight ya 4.5 kg
 
Back
Top Bottom