ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,713
- 57,234
We jamaa upo chuo kweli?
Soon atakununulia na bangi ili penzi lenu lidumu!
Kasema hapo udsm anachukua masters ya nini vile?
She sure loves you so much to pay for your terrible death ticket. I'm a sucker for that kinda love.
![]()
Guys, Hola!
Nimekuwa nikijua sigara sasa ni mwaka wa saba , mara ya kwanza nilikuwa navuta kwa kujifurahisha (smoking for fun),lakini sasa nimebobea kabisa.
Nilijiunga na chuo kikuu cha Dar Es Salaam, kama kawaida, kuvuta sigara was part of my campus life hivi, sasa kuna huyu dada alinizimikia, na kudai ananipenda kisa anajiskia vizuri akiniona navuta sigara, imefika mahali, bajeti ya sigara ikawa imehamia kwake, amekuwa akininunulia pakti ya sigara kila siku!
Na kila tukikutana, ananiambia nivute sigara, alafu nim-kiss, guys ikafika time nikamwambia nimfundishe kuvuta fegi, ila amekataa, na imekua kawaida yeye kuninunulia sigara, ila kuna kipindi nlikua nimepanga kuacha sigara, huyo msichana alilia siku nzima.
Nisaidieni jamani, ana mimba yangu kasema nikiacha sigara, ataitoa hiyo mimba!
Nisaidieni jamani, sigara si nzuri kiafya, ila ndo huyu msichana na vitisho vyake.
©welcome to next academic year 2015 /2016
Vijana wa aina yake ukute ndo wameajiriwa kwenye ofisi za uma...
Kuna wakati nadhani badala ya kulalamikia matatizo yetu kiuchumi na matumizi mabaya ya rasilimali za taifa tuunde tume huru isiyo na wanasiasa ipewe legal power ipite kila ofisi ya Umma na kusaili upya waajiriwa ama kuwapima uwezo wao wa akili kabla ya kuwapa tena nafasi ama kusitisha ajira zao ili taifa lisogee!

Yani katika vitu vyooooote vyote,mtu anakupenda kwa kuvuta sigara..Mi hizi sifa kama hizi siwezi kuzipokea
kama penzi ni kikohozi,huyu jamaa ana TB..Jamaa si kaingia kingi
Hivi inaingia akilini kweli mtu ampende jinsi anavyovuta sigara???
Kwa hiyo mwache jamaa avute tu....
Kasema hapo udsm anachukua masters ya nini vile?
Am sorry my advice involves a lie...... mwambie umeanza kuumwa mapafu na unaishiwa pumzi if sh really loves u ataelewa n maybe go to the hosp. Rudi mwambie majibu yanaonyesha ur lungs are infected somehow so inabidi uache akigoma plz mpeleke church that is 1 serious problem. I have met women who dont mind being with someone who smokes ila huyu ambae hataki hata uache na yeye ndo anakusupport mpka kununua mmmh