Hakuna sehemu hata moja kwenye vitabu vitakatifu (bible,quran,torah,etc) pameandikwa age differentiation and limit ya watu kuoa au kuolewa bali hufanyika kwa matakwa, mapenzi na chaguzi za wapenzi kulingana na mlinganyo wa tabia, hisia na upendo uliopo miongoni mwao.
Age does not count mkuu wewe oa tu kama kweli mmependana toka rohoni na moyoni.