Mpenzi wangu ananiweka njia panda

Mpenzi wangu ananiweka njia panda

Nina mpenzi wangu yuko chuo kikuu,na tupo kwenye uhusiano mwaka wa nne na sasa tupo kwenye hatua za mwisho kutambulishana kwa wazazi,ukweli tumekubaliana kuoana pindi amalizapo chuo,lakini miezi miwili iliyopita nimekuwa simuelewi kabisa.
Kwanza huwa napenda kumjulia khali asubuhi kabdla sijaenda job na mara nyingine lunch time na usiku lakini cha ajabu amekuwa hayupo happy na calls zangu sometime apokee akwambie tutaongea baadaye lakini cha ajabu baadaye ukiongea naye anakuambia anataka alale so inapita siku nzima hajakuuliza unaendeleaje kama zamani,hujamuuliza za masomo yanaendekeaje vile vile kama kuna tatizo lolote akuambie kwa ujumla is like i forced her to communicate with me,,jingine hata umtumie sms anaweza akakujibu kwa kuchelewa ama asikujibu,kisingizio kwamba yupo busy.
Pili ni kwamba hajali chochote kwa mfano nilikuwa nasafiri kwenda kikazi mkoa mwingine nimemtumia sms kwamba nimefika salama since saa kumi jioni lkn haijajibiwa mpaka saa kumi na mbili nilipoamua kumpigia simu hakupokea nikampigia saa mbili akapokea akaniambia tutaongea baadaye yupo anakula lkn cha ajabu hajanitafuta na usiku wkt wa kulala nilipompigia akaniambia amechoka anataka kulala lkn before alikuwa busy anaongea na mtu mwingine.
Wana jamii naombani ushauri wenu yaani sijui niendelee na mipango ya kumpeleka nyumbani ama nihairishe.

Jamani nimepitia stage hiyo, I know how U feel right now. Mtu anayekupenda hawezi kukufanyia vituko hivyo. Inawezekana amepata mtu mwingine au hayuko tayari kutambulishwa kwenu ndio maana anafanya hivyo ili kukuvunja moyo usiendelee na zoezi hilo. Mtu wa aina hiyo usipomtafuta wewe ndio basi mnaweza mkakaa hata miezi kadhaa bila mawasiliano. I know what iam talking about, nimepitia na inaumiza. Nakushauri tulia, usimtafute kama ana nia na wewe atakutafuta yeye otherwise achana naye jipange upya.
 
Bado nina kesi leo nisamehe siatashauri hapo.
 
Pole yako, ni matokeo ya kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu bila kupiga hatua. Tafuta mwingine within 6 month uwe ushaweka ndani.
 
dah kaka chukua uamuzi mgumu kashabebwa huyo....
 
Nina mpenzi wangu yuko chuo kikuu,na tupo kwenye uhusiano mwaka wa nne na sasa tupo kwenye hatua za mwisho kutambulishana kwa wazazi,ukweli tumekubaliana kuoana pindi amalizapo chuo,lakini miezi miwili iliyopita nimekuwa simuelewi kabisa.
Kwanza huwa napenda kumjulia khali asubuhi kabdla sijaenda job na mara nyingine lunch time na usiku lakini cha ajabu amekuwa hayupo happy na calls zangu sometime apokee akwambie tutaongea baadaye lakini cha ajabu baadaye ukiongea naye anakuambia anataka alale so inapita siku nzima hajakuuliza unaendeleaje kama zamani,hujamuuliza za masomo yanaendekeaje vile vile kama kuna tatizo lolote akuambie kwa ujumla is like i forced her to communicate with me,,jingine hata umtumie sms anaweza akakujibu kwa kuchelewa ama asikujibu,kisingizio kwamba yupo busy.
Pili ni kwamba hajali chochote kwa mfano nilikuwa nasafiri kwenda kikazi mkoa mwingine nimemtumia sms kwamba nimefika salama since saa kumi jioni lkn haijajibiwa mpaka saa kumi na mbili nilipoamua kumpigia simu hakupokea nikampigia saa mbili akapokea akaniambia tutaongea baadaye yupo anakula lkn cha ajabu hajanitafuta na usiku wkt wa kulala nilipompigia akaniambia amechoka anataka kulala lkn before alikuwa busy anaongea na mtu mwingine.
Wana jamii naombani ushauri wenu yaani sijui niendelee na mipango ya kumpeleka nyumbani ama nihairishe.

Ni vyema kufanya uchunguzi, ili ubaini ukweli. Kuujua ukweli kunaweza kukusaidia kufanya maamuzi sahihi.

Kila la kheri.
 
dah kaka chukua uamuzi mgumu kashabebwa huyo....
Ukweli inaonekana kuna ukweli na nashukuru kwa ushauri wako nafikiri hiyo ndo salama yangu bse everthing happen for the reason
 
It much pain kwa mtu ambaye una msuport for everthing and mna kuwa na plan nae za kuwa pamoja maishani hatimaye mwishoni ndo anafanya mambo hayo ukweli amenifanya niwe na stress kwa muda huu.
 
Hapo njia panda alipokuweka angekuwekea na jiko uchome mahindi. Yanatoka sana kipindi hiki cha mvua kwani hata wenye magari husimama kununua ili waende wakitafuta kwenye foleni

uwiiiiieeeee mbavu zangu eee, ww ni genious
 
pole sana mkuu...inauma sana....uwezi amini ilisha wai nitokea mkuu...aliaza kama wako anavyo fanya..baadae nkambembeleza aniambie tatizo nini....baada ya muda akaniambia hana HISIA na mm tena...m sure atakuwa amepata mwingine bora kuliko wewe...pole sana...chukuwa awamuzi mgumu mapema
 
pole sana mkuu...inauma sana....uwezi amini ilisha wai nitokea mkuu...aliaza kama wako anavyo fanya..baadae nkambembeleza aniambie tatizo nini....baada ya muda akaniambia hana HISIA na mm tena...m sure atakuwa amepata mwingine bora kuliko wewe...pole sana...chukuwa awamuzi mgumu mapema..
 
mkuu apo bila chenga za analogia,UNAIBIWA.yameshawai kunikuta ayo,
kutafuta uchunguzi ndio kujiongezea maumivu ya kuumia.
akili kichwani mwako sasaaa.
 
Wewe chukulia kama its over na usimtafute
Asipokutafuta ndio utakua umeshamaliza uchunguzi wako
Dont waste time kufuatilia hz ni dalili za kua amepata mwingine tayari
 
Back
Top Bottom