Nina mpenzi wangu yuko chuo kikuu,na tupo kwenye uhusiano mwaka wa nne na sasa tupo kwenye hatua za mwisho kutambulishana kwa wazazi,ukweli tumekubaliana kuoana pindi amalizapo chuo,lakini miezi miwili iliyopita nimekuwa simuelewi kabisa.
Kwanza huwa napenda kumjulia khali asubuhi kabdla sijaenda job na mara nyingine lunch time na usiku lakini cha ajabu amekuwa hayupo happy na calls zangu sometime apokee akwambie tutaongea baadaye lakini cha ajabu baadaye ukiongea naye anakuambia anataka alale so inapita siku nzima hajakuuliza unaendeleaje kama zamani,hujamuuliza za masomo yanaendekeaje vile vile kama kuna tatizo lolote akuambie kwa ujumla is like i forced her to communicate with me,,jingine hata umtumie sms anaweza akakujibu kwa kuchelewa ama asikujibu,kisingizio kwamba yupo busy.
Pili ni kwamba hajali chochote kwa mfano nilikuwa nasafiri kwenda kikazi mkoa mwingine nimemtumia sms kwamba nimefika salama since saa kumi jioni lkn haijajibiwa mpaka saa kumi na mbili nilipoamua kumpigia simu hakupokea nikampigia saa mbili akapokea akaniambia tutaongea baadaye yupo anakula lkn cha ajabu hajanitafuta na usiku wkt wa kulala nilipompigia akaniambia amechoka anataka kulala lkn before alikuwa busy anaongea na mtu mwingine.
Wana jamii naombani ushauri wenu yaani sijui niendelee na mipango ya kumpeleka nyumbani ama nihairishe.