Mpenzi wangu ananitishia

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,420
Reaction score
2,214
Leo kuna jamaaa alikuwa anamsumbua wife kiufupi hajui kujieleza manake yeye mara amwambie anataka amtoe out weekend hii, sasa tena anamtaka aende night club muda huu wa usiku so wife kaniambia jamaa nikampiga beat japokuwa yeye ni mtu mzima sana lakini ndo hivyo kanitishia.Halafu yupo kwenye ulevi, sasa unajua sie wengine ni hatari sana miimi nimeishi Sumbawanga, Kigoma na Bagamoyo so najua changamoto nyingi za maisha za watu wanaojitoa ufahamu wakung'ang'ania mapenzi.

Hapa jamaa akijiingiza kwenye mkenge wa vurugu na mimi nina solution mbili moja ni (1) Kumpeleka polisi (2) Akiwa kichwa ngumu ni kumloga asiinuke tena maishani.

MAISHA NI MAPAMBANO HAPA NDIO NAMTULIZA.

JE MAONI YENU YAP KUHUSU WATU KAMA HAWA WASUMBUFU TENA WANAKUTISHIA USHAUR WENU JAMANI
 
Hakuna uchawi wewe...
ndio haupo ila upo ndugu labda kama una yule nabii jesus inabid uamin haupo ila upo sema ni ngumu kujua kama sio mtafit au mtafuta neno la Mungu na pesa
 
Hamna lolote...magonjwa ya akili tu hayo.
tatizo umekuwa mjin ila kiukwel uchaw upo wakat nipo mdogo .
.yaaan walikuwa wanakabwa sana ndugu wanalia had kulia .
.usipime unajua siku hiz imepungua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…