mpenzi wangu ananipenda sana lakini....

Ney maa

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
95
Reaction score
34
jamani nishaurini nina mpenzi ananipenda sana nami nampenda bt sio wa kabila langu na yy ni wa kusini mi wa kaskazini ki2 ambacho wazazi hawataki wanataka niolewe kwe2 na m2 wa kabila langu. mpenzi wangu anataka niwaeleze wazazi juu ya mahusiano ye2 yawe wazi bt nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazazi wangu kuhusu yy hadi sasa anahisi namfanyia maigizo nifanya nn ili wazazi wakubali mm kuolewa na m2 anaenipenda?bila kujali kabila na sehemu anayotoka?:flypig::flypig::flypig:,
 
haya mambo ya dini na makabila kwenye mahusiano..... mmmmmh! yana tabu sana. we angalia mazingira ila nyumbani ni nyumbani.
 
Siku hizi watu wameelimika kidogo na kutembeatembea hapa na pale kunasaidia.......ingawa kabila la mtu lina mahusiano makubwa na tabia ya mtu mwenyewe!!!!!
 
Love means sacrifice! Taking everything! Hapo haijalïshi rangi, umri,dini, kabila et al...na anaehitaji mapenzi ya ukwel,raha na furaha ni wewe!,sio wazazi wako..chagua lililo jema kwako kwa faida ya sasa na baadae bila kuangalia shinikizo lolote ili baadae usije ukatafuta sababu (kama kutakuwa na majuto)..
 
Siku hizi watu wameelimika kidogo na kutembeatembea hapa na pale kunasaidia.......ingawa kabila la mtu lina mahusiano makubwa na tabia ya mtu mwenyewe!!!!!

kweli, kuna makabila mengine we acha tuu, mi naona tusiwe vipofu wa mapenzi jamani... tuwasikilize wazee wetu
 
karne hii bado watu wanazungumzia makabila,mnataka kutambika.....source Mwl J.K NYERERE
 
kweli, kuna makabila mengine we acha tuu, mi naona tusiwe vipofu wa mapenzi jamani... tuwasikilize wazee wetu

wazee wengine wanaendekeza mila potofu,hawataki kuelimika wamesahau karne ya sasa imejengwa ktk sayansi na teknolojia hayo mambo ya kujudge kabila la mtu na mtu mwenyewe yameshapitwa na wakati,,,,karne hii hakuna aliyemkamilifu
 
duh hadi makabila ingekuwa dini tofauti sawa lakini makabila hebu kaa chini uzungumze na wazazi wako uwaeleze labda wana sababu zao
 
Mnapoenda kwenye vikao vya makabila huwa mnaona raha kubagua wengine huko vikaoni eeenh!!!!

Kumbe huwa mnajichimbia mashimo msokuwa na.kazi nayo!!!!!!

Last wkend I met someone arround Muhimbili with a t shirt painted "Proudly Nyakyusa" nilikuwa na rafiki yangu tukajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu sasa na hili linaongeza maswali zaidi!!!!
 
Z same to me daaaah.sasa kwa vile ww ni wa kusini na mm nina msara huohuo nitafute kwa no 0757686549 ww tuoane wa kusini afu yy achukue wangu kuepusha utata huo.call me any time.
 
kweli, kuna makabila mengine we acha tuu, mi naona tusiwe vipofu wa mapenzi jamani... tuwasikilize wazee wetu

Tatizo lakutumia moyo sana mpaka akili unashindwa kuishirikisha katika jambo lako......wazee wetu wanaona mbali wakat mwingine!!!!!
 
hapo kunashughuli pevu. Kazi ipo kwenye kuchagua kati ya wazazi ama huyo mpenz nani umpe kipaumbele. Katika uchaguzi wowote kunaweza kuwa na majuto bdae hvyo chagua kwa hekima yupi wa kumskiliza huku ukiwasiliana na wote kwa kuwapa taarifa sahihi katika muda sahihi.
 
maji yakimwagika hayazoeleki,wazazi walikupa tahadhari lakini haijasaidia(maji yamemwagika).MAMBO YAKIFIKA SHINGONI hata kama hautaki kufa unajua sasa hakuna jinsi(wazazi inabidi wakubaliane na wewe mana kama walikushauri ikashindikana leo wataongea lipi uwaelewe?Zaidi utaendelea kuumia).
KUONYESHA KWAMBA kwanza unaweheshimu sana wazazi wako na pili haukudharau ushauri wao na wala hukupanga kupingana nao ila imetokea tu.
TAFUTA AMA
1.ndugu zako(married) ama ndugu yako mmoja ambaye wanamuheshimu sana wazazi wako na wanaweza kumsikiliza,mweleze msimamo wa wazazi wako,mweleze kuwa unaheshimu sana ushauri wao lakini kilichotokea si kwa nia mbaya ya kukataa ama kupuuza ushauri bali wewe umempenda kwa dhati huyo kijana,waambie/mwambie wao wabebe jukumu la kwenda kukusemea na kuwashauri wazazi wako na kukuombea msamaha ili wawe tayari kumpokea mpenzi wako.
2.NENDA kwa familia rafiki na familia yenu ,kawaite mume na mke,waeleze kama hapo juu,waombe sana wakusaidie kuwaweka wazazi sawa.
NAAMINI WATAHESHIMU USHAURI
 
dah kumbe haya mambo mpaka leo yapo hatari tupu si kwetu wote ruska kasoro mchaga wa machame tu,lamsing ongea na wazazi
 

Hata mm naitaka hiyo t-shirt........hope watu8, Baba V, IGWE na wengineo wote mkiipata hiyo makitu mtaniletea!!!!
 
Last edited by a moderator:

Wazazi wako bado Primitive(Pardon for my language)..mwambie akupe MIMBA
 
akili za kuambiwa changanya na zako............!!umesoma hadi level uliyopo bado una preach kabila?kweli kuna watu wanaishi kwenye old,stones age hata ingekuaje katika hali ya kawaida baba au mama hawezi kukuambia ugegedwe na huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…