Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Usijaribu kufanya hicho unachowaza maana laana itakutafuna maisha yako yote. Kwa maombi anayookuombea, kila kitu anachokufanyia hizo ndio zitageuka kuwa laana zako..
 
Kweli penye miti hapana wajenzi.

Sina la kukushauri.
Muache tu ipo siku nitamuangukia mimi niliye na uhitaji wa viumbe wenye upendo wa dhati na kweli.
 
Bora umuache alafu utolewe mshipa,, ndo utajua nini maana ya ujinga,

Lakini nikukumbushe yakua penda pale unapoon unapendwa kwa dhati, alafu mapenzi nikama upofu hivyo ckwamba huyo mdada ni mjinga katika utimizaji wa kile ukitakacho, Bali nikwakua anakupenda sana, anakuthamini sana, anakuheshim sana ndio maana anakuombea mema ndio maana anakujali, ndio maana hakuzarau,,,

Nnaimani ckummoja iwapo ukimpenda mwanmke mwenye kukudharau, asiye kuthamini utalia na kusaga meno, na utamkumbuka uliye nae, hakika mwanaume usiombe kudharauliwa na mtoto wa kike,,, hakika inauma hatari

Ila sikushangai sana maana kuna usemi usemao " unaempenda sana na kumthamini sana yeye hua hakupendi wal hakuthamini kama ufanyavyo kwake"

"You'll never realize the true value of the moment until it become a history ""
 
sensitive!
 
sensitive!
Ndoivyo mkuu,, yaan huyu kijana kwanza inatakiwa atolewe mshipa ndo aje kua na hikima na busara

Mwanaume yapasa kuwa na hekima na busara, in sense that awe ana careful judgements and reasoning upon a certain matter, naona hafikirii wala hajui alisemalo wala alitendalo.
 
kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…