Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Pia bado hajasema kua ana undugu na Obama kwa sababu babake Obama na babake huyo binti ni mtu na binamu yakeahahaaaa hapo hajakuambia kikwete baba yake
eheheee.......alipata division ngapi?
Pia bado hajasema kua ana undugu na Obama kwa sababu babake Obama na babake huyo binti ni mtu na binamu yakeahahaaaa hapo hajakuambia kikwete baba yake
eheheee.......alipata division ngapi?
Yaani bongo yetu hii kila kitu usanii tu hata kwenye mambo ya msingi. Haya vijana kazi kwaoyaani wadada wenye uongo wa hivyo
mara nyingi hata elimu yao inakuwaga ndogo sana
Kwahiyo yeye katika kuvushwa kwake hakuwahi kabisa kusoma A level hadi now awe mwaka wa pili?hata wewe umeshindwa kabisa kung'amua mtiririko wa elimu unavyokwenda?utansamehe sana,ila me naona wewe mwenyewe ndio umechagua kudanganywa tena kitoooto!Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka m1 sasa, lakin tatizo la huyo mpenz wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako mapacha akaniambia ni kweli alinidanganya., mala ya pili aliniambia yeye ni bikra japo 2lisex nae juzi na hakuonyesha dalili yyte ya ubikra, mala ya3 aliniambia elimu yake ni form6 alimaliza Olevel mwaka 2010 na akapata div 1ya17, ila alivushwa darasa kipindi yuko A level ndo maana yuko chuo mwaka wapili saiv, nikimuulizia majina ya classmate aliomaliza nao mwaka huo anataja wengne tofaut na walio kwanye list ya matokeo yake. jana nimemuuliza matokeo yake na kumwambia kuwa ye ni muongo aniambie ukweli kama kweli ananiamin lakin amechukia na kusema hajickii kuongea atanitafta, nackitika hajanitafta mpka saiv., naombeni ushauli wenu nimpotezee au nijishushe nimtafte.
Heaven on earth niko available mydia, please accept mewe Mokoyo we si uko occupied tayari!!!!!
Heaven on earth niko available mydia, please accept me