Mpenzi wangu anajimwambafai

Mpenzi wangu anajimwambafai

Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi. Sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we si unapendwa, endelea kupendwa.

Yaani wanaona wivu na wananitolea nje.
Mke wangu ni mjamzito katika ubora wako kupitia ID nyingine [emoji3]
 
Endelea kumchakata yeye tu usitamani nyingine
 
Back
Top Bottom