Mpenzi wangu anahamia Dodoma

Mpenzi wangu anahamia Dodoma

Ha ha ha!!!! Haki ya Nani Wanaume tunadanganywe
 
Niko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana. Anasema huko maisha yatakuwa magumu kwa miezi sio chini ya mitatu. Nimvumilie akiseto ataniita mara mojamoja. Masikini sijui ataweza? Keshazoea kutuliza moyo wake kila wiki mara moja au mbili. Sasa miezi mitatu si itakuwa balaa? Kila la kheri laazizi usafiri salama. Mimi nipo kwa ajili yako najitunza.
Nimejitolea kumsaidia majukumu ya kukukanda, kwa kipindi chote cha safari yake.... Pole sana Sista
 
Niko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana. Anasema huko maisha yatakuwa magumu kwa miezi sio chini ya mitatu. Nimvumilie akiseto ataniita mara mojamoja. Masikini sijui ataweza? Keshazoea kutuliza moyo wake kila wiki mara moja au mbili. Sasa miezi mitatu si itakuwa balaa? Kila la kheri laazizi usafiri salama. Mimi nipo kwa ajili yako najitunza.
Dah! sijaelewa chochote by the way hadithi yako inatufunza nini?
 
Niko njia panda. Shemeji yenu mpenzi wangu ingawa ni mume wa mtu anahamia Dodoma kikazi. Nitakuwa mpweke sana. Anasema huko maisha yatakuwa magumu kwa miezi sio chini ya mitatu. Nimvumilie akiseto ataniita mara mojamoja. Masikini sijui ataweza? Keshazoea kutuliza moyo wake kila wiki mara moja au mbili. Sasa miezi mitatu si itakuwa balaa? Kila la kheri laazizi usafiri salama. Mimi nipo kwa ajili yako najitunza.

Heshima yako Sista!
 
...shemeji yetu, ingawa ni mume wa mtu...teh teh!! Huyo anaenda tafuta kifaa kipya huko, ndio raha ya kuwa concubine hiyo, unatemwa kama "bablish" tu
Eli79 please usinilize
 
Back
Top Bottom