Mpenzi wangu anafuliwa boxer...

Mpenzi wangu anafuliwa boxer...

sasa kama mwenyewe unaenda kwake umebandika kucha kama ndugu wa shetani

wigi refu

ukifika kwake direct kwenye friji kuona juice/mayai kama yamo.

miguu juu kazi yako ni kuchat tu unategemea nini!!!!
 
Ongea nae kwa utulivu atakuelewa. Mweleze namna ambavyo hupendezwi na suala la yeye kufuliwa na mtu mwingine nguo zilizotoka mwilini mwake na hasa boksa.
Ngoja na mimi niongee na wewe kwa utulivu utanielewa ninavyokupenda!....ngoja nikueleze namna ninavyokupenda!
 
Yupo kazini mwenzako wa kuongea nae ni huyo bwana wako umshauri hilo jambo si jema.
 
Ukakinukishe na wakati hujui wajibu wako kama mwanamke hujui mwanaume nani huwa anamfulia na kumfanyia usafi kinukishe umkose jamaa amchukue kabisa huyo mfuaji
 
Ukakinukishe na wakati hujui wajibu wako kama mwanamke hujui mwanaume nani huwa anamfulia na kumfanyia usafi kinukishe umkose jamaa amchukue kabisa huyo mfuaji
 
Unataka awe anavaa pichu chafu. Mumeo akinuka pichu utamlaumu nani?
 
Inaonekana wazi kabisa wewe huwa humfulii nguo zake sasa kwa mpango huo unategemea nini?
 
Umeshidwa kazi na majukumu yako, kifuatacho utasimulia kwa shoga zako wala hutakileta humu
 
Back
Top Bottom