MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,727
- 37,031
Hauna exposure, hayo ni mambo ya kiswahili, boxer ni nguo tu kama nguo nyingine. Ni rahisi kumtoa mtu shamba lakini ni ngumu kutoa shamba ndani ya mtu.
Sasa ww unajua kwenda hapo na kuweka miguu juu tu hujui hata usafi nani anafanya unaona mpenzi wako nguo zinang’aa tu hujawahi hata kufua..uvivu tuu
Naww tafuta mtu akufulie chupi
Haaaa haaaa jamaniwe unaeka makucha ya bandia huez kumfulia unategemea nani atamfulia!??
Watoto wakulelewa kwenye hotpot hawajui kufua hata kitambaa mkuuHuyo mpenzi wako atakuwa na tabia mbaya kutaka kufuliwa hadi boxer na mfanyakazi (awe wa kike au wa kiume). Labda iwe huyo dada ni mpenzi wake .
Ongea naye ujue sababu ya kumwachia huyo dada nyumba na kufua boxer
Kweli kabisa!Huyo mpenzi wako atakuwa na tabia mbaya kutaka kufuliwa hadi boxer na mfanyakazi (awe wa kike au wa kiume).



Hofu yako nini? Mbona huyo dada katoa maelezo mazuri tu. Ni kazi hamna lingine.Nimemtembelea mpenzi wangu leo(naishi mbali nae)nimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani?akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.hajawahi kunigusia hili swala.je ni sawa jamni nisaidieni kabla sijakinukisha.
Hahaha hahah hahajaHeheheee ukitoka hapa utakuwa umejuta kuleta hili jambo humu bora ungepambana nalo huko huko





.Nimemtembelea mpenzi wangu leo(naishi mbali nae)nimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani?akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.hajawahi kunigusia hili swala.je ni sawa jamni nisaidieni kabla sijakinukisha.