Mpenzi wangu anafuliwa boxer...

Mpenzi wangu anafuliwa boxer...

jewjew

New Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
4
Reaction score
11
Nimemtembelea mpenzi wangu leo (naishi mbali nae)bnimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake huku yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani? Akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.

Hajawahi kunigusia hili swala. Je ni sawa jamani nisaidieni kabla sijakinukisha.
 
Hasira ni kwamba ameionesha hiyo boxer kwa mwanamke au?? Sijaona sababu ya kukinukisha hapo labda uwe wazi zaidi. Je, huyu mdada angelikuambia kuwa akija kutoka kazini huwa anamdugua (meseji) mgongoni hadi alale ndipo yeye huondoka bila kufanya kitu kwa kuwa ni fundi wa kazi hiyo tu. Ungelimfanyaje?? Kinukishe leo leo uende
 
Nimemtembelea mpenzi wangu leo(naishi mbali nae)nimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani?akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.hajawahi kunigusia hili swala.je ni sawa jamni nisaidieni kabla sijakinukisha.
Sijaona Kosa la Mshikaji wako hapo mpaka uilete huku kama Issue kubwa kabisa?
 
Nimemtembelea mpenzi wangu leo(naishi mbali nae)nimekuta mdada anamfulia nguo pamoja na boxer zake yeye hayupo ikabidi nimuulize huyu dada yeye ni nani?akanijibu yeye ndo huwa anamfulia na kumfanyia usafi kisha anamlipa.hajawahi kunigusia hili swala.je ni sawa jamni nisaidieni kabla sijakinukisha.
Unaibiwa! Huyo atakuwa "mume" wake.
 
Huyo mpenzi wako atakuwa na tabia mbaya kutaka kufuliwa hadi boxer na mfanyakazi (awe wa kike au wa kiume). Labda iwe huyo dada ni mpenzi wake .

Ongea naye ujue sababu ya kumwachia huyo dada nyumba na kufua boxer
 
Back
Top Bottom