Mpenzi wangu ana wivu sana

aaah unaaibisha mkuu we ni mnyama adi ushindwe kujizuia bhana.....
ila kuna kitu nime note hapa bado upo kwenye teens ndo kinachokusumbua au humpend bint wa watu...

mwanzo nikuwa natake easy tu ila kadri siku zilivokwenda najikuta nampenda sana tu ila sijamwonyesha kama nampenda
 

manzi anaonyesha kunipenda kwel na mimi nimeanza kuona atafaa kuwa mke,na kuhusu hzo 9 ni serious tena mashne inakuwa active all the time adi anaomba poo
 
Teh teh..Kweli aisee..Halafu hawa watu wanaopiga bao tisa mi hata sielewi..Watu wengine tukipiga 3 tu mtu anaomba pooo..Hizi tisa inakuwaje chief

fanya mazoezi kula sana karanga uone dem wako anavopagawa na kuomba poo,me ad alkuwa analia hataki niendelee cha 10
 

na wewe unawivu!!
 

wanawake weng ndo mpo ivo,sijui mna matatizo gani!
 
maana kitandani nampaga doze ya kueleweka hadi 9 siku zingine toka asubuhu hadi jioni.

Hivi ni kweri mtu unaweza kupiga bao 9 kwa cku moja na demu mana kadiri ngwee znavyosonga ndo bao linazidi kuwa la kuchelewa na hile kukinai kwa ongezeka yaan kwa mm aisee nimejitahidi lbda tatu mana hilo la pili lenyewe sometime cmalizii demu anaomba tupumzke na akipumzika huo usingizi anaolala akikulupuka hapo ata umwambi tumalizie hataki tena na nasema hvyo nimejiribu hta kwa malaya na kuhaidi dau mara 2 ndo hapo nimefikia tatu lkn mkimaliza hpo atak tena hata uumpe nn ss huyo demu wako unampiga 9
Aisee SALUTI na saluti sio kwako SALUTI kwa huyo demu wako usimuache huyo mana nikimpata km mm wakat ww huo wivu unaona kero mm kwangu ingekuwa raha nikifikilia tu hzo bao 9 anazovumilia
 
haya.. but kwa ushaur baki njia kuu utampoteza huyo dada kama ni kweli una future nae devote ur time to her na kila kitu msaidie ili aweze overcome jealousy maana nae inamuumiza kua hivo coz ts seems hakuamini...

Pia wivu unaambatana ne expectation flan flan akizikosa tu na wivu utaisha kabsa
 
Kumbe unacheat kweli alafu unasingizia wivu kwa mpenz wako...badilika mkuu
 

Hata huku jamii forum yupo anafwatilia post zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…