mpenzi wangu ana moyo chuma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mpenzi wangu ana moyo chuma.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Billie, Jan 29, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 4,023
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Mpz wangu nimekuwa nae muda mrefu ila anatatizo la kutonionea wivu hata anikute mazingira hatarishi hii hali hainifurahishi kabisa hadi inafikia muda mwingine natunga skendo yoyote nione reaction yake ila mwenzangu haoneshi na kutishwa wala nini.JE NITAFSIRIENI HUYU MTU Atakuwa wa namna gani?
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakupendi huyo.
   
 3. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ndo alivyo, sasa unataka abadilikeje jamani??
   
 4. E Original

  E Original Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mtu huo atakuwa ana demu nje anataman kukuacha lakini naic bado anakupenda.
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,968
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na wewe unatafuta kujiumiza roho bure tazama yale yanayokufurahisha mengine achana nayo
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,463
  Likes Received: 3,350
  Trophy Points: 280
  Hakupendi huyo, achana nae!
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160

  ...anakuamini kuliko unavyojiamini. If it aint broke dont fix it,

  RELAX!
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,478
  Likes Received: 708
  Trophy Points: 280
  hee hii kali.
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,293
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unapenda shonga na weye! kama hauuliza si bora dhiki za roho za nini?
   
 10. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,237
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  That's what it is...
   
 11. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama kitu huwezi kubadili kwa nini kikuumize,mfano nimekukuta na mdada sa nimeshakukuta cwezi badili fact kwamba nimekukuta kwa hyo naendelea na mambo yangu,ila ujue siku ya siku ataondoka zake akiamua,
   
 12. T

  TUMY JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia usiibue matatizo ambayo hayakuwepo, kobe akiinama jua anatunga sheria, yanawezekana anakaa kimya ila moyoni anaumia sana siokila mtu anaweza kuonyesha hadharani kuwa makini tafadhali.
   
 13. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,322
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 180
  Kuna mawili: ama anakupenda sana kiasi kuwa haamini kuwa wewe ni wake kweli kwa hiyo anaogopa kukuudhi usije ukamuacha;pili anaweza kuwa na wa pembeni.
   
 14. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,245
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Huyo ni wa aina yake. Mpende sana. Hakikisha unakuwa na yeye tu. Usimcheat tena
   
 15. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,211
  Likes Received: 1,258
  Trophy Points: 280
  Anakuhesabia we subiri utaona
   
 16. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Endelea kumfanyia vitimbi siku akibadilika uje tena hapa kuomba ushauri
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,254
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  umemaliza!

   
 18. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,107
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Kimbia fasta, watu sampuli hiyo ndo unasikiaga from nowhere kakata mapanga mtu!
   
 19. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,254
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maelezo yako mafupi sana kuweza kujua nini kinaendelea,ili niweze kukomenti,
   
 20. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kwel kabisa
   
Loading...