atakwambia? we jiaminishe tu!!
Habari wana JF MMU.
Nina girlfriend wangu takribani mwaka na miezi kadhaa niko naye.
Tatizo kubwa alilo nalo ni kiburi ambacho tangu niyajue mapenzi sijawahi kuona,hanisikilizi kwa chochote kile.
Kwa muda wote huo nimemvumilia sana na kwa upole wangu na busara nilizotumia kumrekebisha nilidhani angebadilika lakini wapi.
Nilishamuonya sana swala hili na yeye kuwasiliana na X wake akasema ataacha but still naona anaendelea ingawa siyo mawasiliano mabaya lakini ninahisi watazoeana tena na kuanza kukumbushia waliyokuwa wanafanya.
Hivi ni lazima uwe na mawasiliano na X wako?
Nahisi moyo wangu umeanza kukata tamaa juu yake.
Kuna uhusiano wowote na nilichoandika?
kuwasiliana sana na x wake kutaleta majanga zaid.... kama kiburi kimeanza hivi karibuni ujue huyo X wake anajaribu kufanya mapinduzi.... na kuto kukusikiliza kwa huyo bi mdada ni dhahiri kunaonesha kwamba jamaa anakuzid point...
chakufanya ni kuwa mkali juu ya huyo girl wako tena uwe mbogo haswa.... mwambie kama matapishi matamu basi aanze safari mapema sio kupotezeana muda...
I HAD THIS SITUATION ....niliitibu na ikaenda poa...
Kuwasiliana na X wake si kiburi bali ni mapenzi!Habari wana JF MMU.
Nina girlfriend wangu takribani mwaka na miezi kadhaa niko naye.
Tatizo kubwa alilo nalo ni kiburi ambacho tangu niyajue mapenzi sijawahi kuona,hanisikilizi kwa chochote kile.
Kwa muda wote huo nimemvumilia sana na kwa upole wangu na busara nilizotumia kumrekebisha nilidhani angebadilika lakini wapi.
Nilishamuonya sana swala hili na yeye kuwasiliana na X wake akasema ataacha but still naona anaendelea ingawa siyo mawasiliano mabaya lakini ninahisi watazoeana tena na kuanza kukumbushia waliyokuwa wanafanya.
Hivi ni lazima uwe na mawasiliano na X wako?
Nahisi moyo wangu umeanza kukata tamaa juu yake.
Kuwasiliana na X wake si kiburi bali ni mapenzi!
Tafuta mwanamke mwingine!