Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,986
- 189,587
Mkuu Naona Unasubiri Huyo Mwanamke Akuue Ndio Ushtuke.
Unatakiwa uchapwe viboko vya kutosha ili akili ikukae sawaHow to leave her🙂
Hivi kumbe nilitoweka eeehhh...🤔afadhali umerejea MMU😄
Ungelikuwa Umeshtuka Ungelifanya Maamuzi Tayari.Nishashituka
anafanya kazi gani au wapi?Habari za saizi wakuu.."
Natumaini wote wazima
Nina miezi miwili nipo kwenye mahusiano na mpenzi mpya na ninampenda ila shida ni yeye mwanzoni aliniamboa ayupo kwenye uhusiano na mtu yoyote, ila siku izi naona dalili za kuwa amerudiana na Ex wake.
Maana mda wakurudi nyumbani akitoka kazin anapanda bodaboda ya uyo mjamaa hata umueleze vip anajifanya amekuelewa ila badae anarudia ivyo.
Nimeshaanza ona dalili za kutomuelewa maana anapiga sim mara nying na cha kwanza ananiuliza upo wapi ?
Nikimtajia eneo anajifanya kam alikuwa ananisalimia ukipiga sim inakuwa inatumia maximum unaweza kupiga sim saa11 jion adi saa2 usiku inatumika (Means ameniblock)
Ukimuuliza ulikuwa umeni block anasema Mara ooh nikiwa busy napenda kublock watu wote ili nifanye kazi kwanza?....
Nahisi kama nitashindwana nae jamani
Naomba ushauri wa kufanya katika situation hii ya sasa kwa kweli "" 🙏
Bado unasubiri kuona movie maana picha ushaonyeshwa.Habari za saizi wakuu.."