Mpenzi wangu amerudiana na Ex wake (Dereva Bodaboda)

Afro king

JF-Expert Member
May 23, 2020
427
428
Habari za saizi wakuu.."

Natumaini wote wazima

Nina miezi miwili nipo kwenye mahusiano na mpenzi mpya na ninampenda ila shida ni yeye mwanzoni aliniamboa ayupo kwenye uhusiano na mtu yoyote, ila siku izi naona dalili za kuwa amerudiana na Ex wake.

Maana mda wakurudi nyumbani akitoka kazin anapanda bodaboda ya uyo mjamaa hata umueleze vip anajifanya amekuelewa ila badae anarudia ivyo.

Nimeshaanza ona dalili za kutomuelewa maana anapiga sim mara nying na cha kwanza ananiuliza upo wapi ?

Nikimtajia eneo anajifanya kam alikuwa ananisalimia ukipiga sim inakuwa inatumia maximum unaweza kupiga sim saa11 jion adi saa2 usiku inatumika (Means ameniblock)

Ukimuuliza ulikuwa umeni block anasema Mara ooh nikiwa busy napenda kublock watu wote ili nifanye kazi kwanza?

Nahisi kama nitashindwana nae jamani

Naomba ushauri wa kufanya katika situation hii ya sasa kwa kweli " 🙏
 
Nenda kwao ukatoe mahari, ujichjkulie jiko hilo.

"The obvious are not obvious anymore"
 
Ushaliwa kichwa wewe
Shtuka usingizini huko
Unaenda kupigwa na kitu chenye butu kama rungu la kipepe lazima ulie kama mtoto kama sio kufa kabsaaa
 
Kinyama aseee

Mtu anatoa jibu jepesi eti akiwa busy huwa anablock watu na jamaa bado yupo tu kakaza fuvu
Hawa wanatufaa wazee wa tit for tat yeye akiblock mara moja huwa namblock maisha yote
 
Habari za saizi wakuu.." Natumaini wote wazima
》Nina miezi miwili nipo kwenye mahusiano na mpenzi mpya na ninampenda ila shida ni yeye mwanzoni aliniamboa ayupo kwenye uhusiano na mtu yoyote ila siku izi naona dalili za kuwa amerudiana na Ex wake maana mda wakurudi nyumbani akitoka kazin anapanda bodaboda ya uyo mjaa atamueleze vip anajifanya amekuelewa ila badae anarudia ivyo...Nimeshaanza ona dalili zakuto muelewa maana anapiga sim mara nying na cha kwanza ananiuliza upo wapi ? Nikimtajia eneo anajifanya kam alikuwa ananisalimia ukipiga sim inakuwa inatumia maximum unaweza kupiga sim saa11 jion adi saa2 usiku inatumika (Means ameniblock) ukimuuliza ulikuwa umeni block anasema Mara ooh nikiwa busy napenda kublock watu wote ili nifanye kazi kwanza?....Nahisi kama nitashindwana nae jamini
Naomba ushauri wa kufanya katika situation hii ya sasa kwa kweli ""
Jinga jinga wewe kijana/bwana mdogo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom