Kama kweli unampenda,
na unamalengo nae na unaona kabisa kikwazo Ni uyo jamaa yake.
Piga fitna waparuane waachane na uyo bodaboda wake, Kisha ataconcentrate kwako.
IKISHINDIKANA hapo,
Achana nae, Tafuta mwanamke mwngn hakupendi uyo
aaah hii ni boy down....huyu hajawai kuwa manMan down
afadhali umerejea MMU😄Sasa hili nalo unaomba ushauri kweli...!!🤔
Kwani wewe ulikua unatama tukushauri nini hapa..??☹️
typical mwanaume wa dar huyo wa mikoani tuko bize kuchima chimaWanaume wa mikoani hao ndio maana wanageuzwa mazuzu na wake zao hii sio mada ya kuomba ushauri