Mimi ni mtu wa Makamo nina miaka 45 nimejaliwa NSSF nimejaliwa kuoa wake wanne, Hawa, sauda, salma, na Janeth.
mke wanne ni msomi kiasi Ana degree na hivi majuzi amehitimu CPA.
Kila Mke nimempa Nyumba. Huyu wa nne anakaa mikocheni B.
Mimi nampenda sana bi mdogo, wanasena kipya hakinyemi, kuna siku aliniandalia chakula akaniambia ni halamu but nikila siwezi kufa,
Kwa kuwa nampenda sana nikaonja kabla sijaamaliza kutafuna akaniambia ni Kitimoto. Nilishituka nikatema haraka nikamuangalia kwa hasira huku tukikutanisha macho kwa dakika kadhaa huku nikitetemeka.
Akavua nguo zote akaniambia "nifanye chochote lakini mapishi yangu ya Leo yameishia hapo"
Mara nikahisi kautamu kanakuja kwa mbali nikashushia na tonge la ugali.
Sasa Toka siku hiyo bila Kitimoto sipati raha.
Wake zangu watatu wamepata habari kuwa nalishwa Kitimoto na Janeth ndio maana kila siku nalala kwake! WanaJamii Forum nifanyeje kuokoa familia yangu?
Mimi usadhi maulid bashir