Mpenzi wangu amenisamehe kwweli?

Mpenzi wangu amenisamehe kwweli?

msd

Member
Joined
Nov 26, 2012
Posts
50
Reaction score
8
Ndugu wana jamii,mm ni kijana wa kiume nina girlfriend wangu lakini last week nilifanya kosa ambalo kwa kweli mm mwenyewe sikulitegemea,akawa amekasirika sana,,nikawa nimekubali kosa na kumuomba msamaha na akanikubalia kwamba yameisha,,lakini i feel pain kwasababu ninavyoongea naye sio mtu mwenye furaha kama kawaida,huwa nikimpigia simu ananisikiliza tu,,yaani ni kama hataki kuongea na mm,,nimejitahidi kwa kila khali kumfanya asahau yaliyopita lakini bado hajarudi kawaida,,Je wana jamii naomba msaada wenu kweli amenisamehe? ama amefanya hivyo ili yaishe tu? kwa kweli na mm amani imepotea kwa sababu tuna malengo ya kufunga ndoa mwaka ujao.
 
Mtumie kama laki mbili hivi kwa mpesa. Asipozirudisha ujue amekusamehe. Akizisend back imekula kwako.
 
Ungetuambia kosa ulilofanya. Na mbinu ulizotumia kumsahaulisha!
 
kama uliruhusu kuku wako kudonoa nje ni ngumu kukusamehe...hasa kama alikua anakuamini sana.....
 
Kwa kweli ni tatizo la kisaikolojia,nilikutana naye kwa ajili ya kufanya mapenzi lakini nikawa nimeshindwa kutokana na jogoo kukataa,,lakini jogoo alikuwa anafanya kazi mpaka karibia na sex akagoma na mpaka sasa sijarejea sawa na ilinibidi niende kumuona daktari akanipa ushauri na sijui ilisababishwa na nn?
 
Hilo tatizo lako ni kubwa sana kisaikolojia nafikiri daktari alikushauri vya kutosha
 
Hapana sijatoka nje,,,na nilikuwa sijakutana naye mwezi mzima lakini mpaka sasa jogoo anakataa kufanya kazi kama kawaida
 
Nashukuru alinipa ushauri wa kutosha,naufanyia kazi japo sijarejea kama kawaida
 
ni kweli amekusamehe maana hata yeye huwa anafanya vivyo hivyo...
 
Pole sana kuna makosa yana sababisha upoteze imani na mtu hasa mtu wako wa karibu; na ndicho kilicho tokea kati yenu, ulicho mfanyia kimemfanya apoteze imani nawe, hivyo unatakiwa upigane kurudisha imani hiyo!

Ndugu wana jamii,mm ni kijana wa kiume nina girlfriend wangu lakini last week nilifanya kosa ambalo kwa kweli mm mwenyewe sikulitegemea,akawa amekasirika sana,,nikawa nimekubali kosa na kumuomba msamaha na akanikubalia kwamba yameisha,,lakini i feel pain kwasababu ninavyoongea naye sio mtu mwenye furaha kama kawaida,huwa nikimpigia simu ananisikiliza tu,,yaani ni kama hataki kuongea na mm,,nimejitahidi kwa kila khali kumfanya asahau yaliyopita lakini bado hajarudi kawaida,,Je wana jamii naomba msaada wenu kweli amenisamehe? ama amefanya hivyo ili yaishe tu? kwa kweli na mm amani imepotea kwa sababu tuna malengo ya kufunga ndoa mwaka ujao.
 
Ndugu wana jamii,mm ni kijana wa kiume nina girlfriend wangu lakini last week nilifanya kosa ambalo kwa kweli mm mwenyewe sikulitegemea,akawa amekasirika sana,,nikawa nimekubali kosa na kumuomba msamaha na akanikubalia kwamba yameisha,,lakini i feel pain kwasababu ninavyoongea naye sio mtu mwenye furaha kama kawaida,huwa nikimpigia simu ananisikiliza tu,,yaani ni kama hataki kuongea na mm,,nimejitahidi kwa kila khali kumfanya asahau yaliyopita lakini bado hajarudi kawaida,,Je wana jamii naomba msaada wenu kweli amenisamehe? ama amefanya hivyo ili yaishe tu? kwa kweli na mm amani imepotea kwa sababu tuna malengo ya kufunga ndoa mwaka ujao.
kosa gani hilo uli ua binadamu ama ?by the way ystrd is history lyf goes on
 
Hahahahahahahahahaha
Anaweza akazichukua lakini trust kwa jamaa inaweza inaonekana imepotea japo jamaa hataki kusema amefanya nini!

Na anaweza kuzichukua na kesho yake akamwambia waachane, nadhani unataka jamaa aje na uzi hapa unasema 'nimeliwa pesa yangu'

Mtumie kama laki mbili hivi kwa mpesa. Asipozirudisha ujue amekusamehe. Akizisend back imekula kwako.
 
Hapana sijatoka nje,,,na nilikuwa sijakutana naye mwezi mzima lakini mpaka sasa jogoo anakataa kufanya kazi kama kawaida

Oooh ndo mara ya kwanza mlikua mnakutana?
 
haya mambo yapo especially kama ni mara ya kwanza ila kama ni mnado afu hio dey ikabuma anachukulia labda ulikua na manzi mwingine au ulimwona hafai kiasi kwamba ukashindwa kudoooo
ila hili tatizo kwa ufupi ni vigumu likaisha kwa ushauri pekee au kwa matibabu yako pekee inahitaji ushiriki aslimia 100 ya mpenzi wako, mkae pamoja, umfeel nae afeel muandae mazingira kama la utakua bado unaogopa maana hata mwenye alingatwa na nyoka akiona hata ganda lake tu anasisimka mwil,
kama yeye ni muelewa naamini mtakaa pamoja, wanasema huwezi kuandaa kwamba ati leo mtagegedana, mkiandaa mara nyingi inashindikana inabidi kile kitu kitokee spontaneous au vipi,,unahitaji ukaribu nae tena saana maswala ya kuongea kwa phone punguza mtafute mkae, mshikane, mtomasane, miili ichemke,, naamini uligua woga tu wako na mawazo mingi labda utamridhisha, utamfikisha, na mambo ingine, ila usijali,
acha nature ichukue mkondo na mambo itakua mukide

Kwa kweli ni tatizo la kisaikolojia,nilikutana naye kwa ajili ya kufanya mapenzi lakini nikawa nimeshindwa kutokana na jogoo kukataa,,lakini jogoo alikuwa anafanya kazi mpaka karibia na sex akagoma na mpaka sasa sijarejea sawa na ilinibidi niende kumuona daktari akanipa ushauri na sijui ilisababishwa na nn?

Labda amehisi umeshindwa kudinda kwa vile umeiona mbunye yake haina mvuto.
 
Kwa kweli ni tatizo la kisaikolojia,nilikutana naye kwa ajili ya kufanya mapenzi lakini nikawa nimeshindwa kutokana na jogoo kukataa,,lakini jogoo alikuwa anafanya kazi mpaka karibia na sex akagoma na mpaka sasa sijarejea sawa na ilinibidi niende kumuona daktari akanipa ushauri na sijui ilisababishwa na nn?

sasa hapo ndo umemkosea au .kama anakupenda kwa shida na raha inatakiwa akusindikize kwa dokta wala c kumbembeleza, me cjaona kosa hapo unles uwe umeficha
 
oh kumbe kitu hakisimami na mamsap kanuna hahaha
wanawake bana oh relationships are not abt sex...haya mbona huyo kanuna kama relationships are not abt sex. relationship ni kugegedana bwana asikudanganye mtu!!!
 
Back
Top Bottom