Mpenzi wangu amenisamehe kwweli?

Mpenzi wangu amenisamehe kwweli?

...Endelea kuomba samahani mpaka atakapoanza kuongea tena kama ilivyokuwa kabla ya kosa lako. Kila la heri na uache kufanya makosa ya kipuuzi au utapoteza mchumba, na wachumba kuwapata siku hizi si rahisi kama ilivyokuwa mwaka 47.

 
Last edited by a moderator:
haya mambo yapo especially kama ni mara ya kwanza ila kama ni mnado afu hio dey ikabuma anachukulia labda ulikua na manzi mwingine au ulimwona hafai kiasi kwamba ukashindwa kudoooo
ila hili tatizo kwa ufupi ni vigumu likaisha kwa ushauri pekee au kwa matibabu yako pekee inahitaji ushiriki aslimia 100 ya mpenzi wako, mkae pamoja, umfeel nae afeel muandae mazingira kama la utakua bado unaogopa maana hata mwenye alingatwa na nyoka akiona hata ganda lake tu anasisimka mwil,
kama yeye ni muelewa naamini mtakaa pamoja, wanasema huwezi kuandaa kwamba ati leo mtagegedana, mkiandaa mara nyingi inashindikana inabidi kile kitu kitokee spontaneous au vipi,,unahitaji ukaribu nae tena saana maswala ya kuongea kwa phone punguza mtafute mkae, mshikane, mtomasane, miili ichemke,, naamini uligua woga tu wako na mawazo mingi labda utamridhisha, utamfikisha, na mambo ingine, ila usijali,
acha nature ichukue mkondo na mambo itakua mukide


naunga mkono hoja
 
...Endelea kuomba samahani mpaka atakapoanza kuongea tena kama ilivyokuwa kabla ya kosa lako. Kila la heri na uache kufanya makosa ya kipuuzi au utapoteza mchumba, na wachumba kuwapata siku hizi si rahisi kama ilivyokuwa mwaka 47.

hili ni tatizo la kisaikologia,, kwa ufupi ni ugonjwa umetokea na vile ugonjwa haudumu anahitaji matibabu,, hajadhamiria kufanya vile, si ajabu hata wewe likakutokea siku moja, nina ushahidi wa watu wengi wamekuja kwangu wakiomba ushauri it's just a matter of understanding the situation, wote wawili,, with time they will catch up heb nikuulize the first day ulivomgeda mpenzi wko kama unae ni sawa na day zingine, je? uliongeza maujuzi au muda wakudo? sasa ndivo ilivo wengine wanaanza chini saana kiasi cha kushindwa ata kuingiza kitu kinaslap kwa ufupi mwenyewe ilinitokea with my first lover,, , ila ilichukua tu muda tu kidogo nikaregain. epuka kuongea saana na mpenzi wako mambo yanayoweza kukukwaza kabla ya issue, ondoa shaka hakikisha uko sehemu ambayo unajiamini isijeikawa una wasiwasi mlango utafunguliwa au kuna mtu anawachungulia au atawafumania muda wowote
 
ongea na huyo daktari ulioenda kumuona,mwambie utakwenda na girlfriend wako mweleze hali halisi na mwambie akusaidie kisaikolojia kumweka sawa laazizi,ila asimwambie kama ulishawahi kwenda kutibiwa ,then muombe laaziz akusindikize kutibiwa,mwambie kuna mtu kakuelekeza sehemu ya kuweza kutatua tatizo lako,nendeni ,kule daktari atawaelekeza nini cha kufanya urudi kawaida,na ndio laaziz atajua hukujifanyisha!
 
Back
Top Bottom