Leo niwape stor moja true kabisa,
Niliishi na mwanamke kwa miaka mitatu na mara zote akinionyesha wivu wa hali ya juu ilikua sio poa mtu wangu, yaan ilikua nikitoka kidogo kashadaka simu yangu kashatoa passwedi na ilikua kila nikibadilisha alikua anaijua , ijui alikua mchawi.
Miaka yote alikua mtu wa wivu kupitiliza ilikua ata akiona nimewasiliana na jina lolote la kike kwenye simu yangu alikua anajinunisha na kutaka kujua ninani nilikua naongea nae na nini, ilikua sio poa mzee kama niko jera vile na mimi nikaona hili aliweiz kuendelea nikamkataza kushika simu yangu na fosho sijawai ata siku moja kushika simu 📱yake.
Sasa kuna siku nilikua nachat na kidemu kimoja nilimaliza nacho advance bhana ilikua usiku ivi, kumbe bhna rider alikua anasoma radder 👀na kuangalia nachofanya asubui yake ile nimeenda kuoga tu si akadaka simu yangu, kaangalia va kuangalia sasa nimerudi nimechukua simu yangu nakutana na sms ambazo sikuzifungua zimefunguliwa, kazi ikaanza
Nikamwambia kwann umepekua tena simu yangu akasema alikua anahakikisha kama sijamkosea ☺️sasa na mimi nikasema nipe simu yako.
Alikua anagoma ila siunajua tena ile kiume nikafosi nikaichukua akatoa password. 😭BHANA BHANA nilichokikuta ni hatali kumbe kuna paka wanaume wake wengine kawatambulisha adi kwa rafiki zake niliishiwa nguvu na kuvunja mahusiano on the spot 😎
KUNA MUDA WANATUTEGA KWENYE ISHARA NJEMA WANAZOTUONYESHEA HAWA VIUMBE 💃