Mpenzi wangu alinidanganya umri

Mpenzi wangu alinidanganya umri

Watoto wa 98 ndo zao wanapenda wanawake waliowazidi umri.
Mimi binafsi sioni shida kama mnapendana mana unaweza pata la 87 halafu masharti mengi kama unaomba mkopo ASA
 
Huyu babu wa mchongo mwenyewe muongo hajanimpesa mpaka sasa😭😭😭

We dogo Grahams njoo hapa!
Serious unamuita dogo....
Ahahahah kama atakua dogo kweli..

Naamini atakua ni wa hovyo sana aiseeeee ahahaha kwa mada anazoteteaga huku ndani
 
Kwani umri ndio unakula papuchi we furahia lako
 
Leo nimekaa chumbani, nalia na mto wangu tu, nikiwa na maumivu makubwa. Nimedanganywa! Nimedanganywa jamani! Aaaah! Nalia Mimi
Kwelikuwa uyaone...yaani kudanganywa umri unalia....subir siku utakapomkuta juu ya kifua cha Salma!
 
Back
Top Bottom