mmmmh, maswali mengine balaa jamani
Unaijua hii a*b=b*a?
Nachokijua binadamu wote tuna kasoro!kwa misingi hiyo wewe unaona nini kwa mpenzi wako au wapenzi uliowahi kuwa nao nini kasoro walizokuwa nazo?nawewe hukuzipenda?na ukilinganisha na uliyenaye sasa??je ni yupi unaona alikuwa bora zaidi japo haikuwezekana kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wako!!
mmmmh, maswali mengine balaa jamani
hata uliye nae sasa. Utakuta ana mapungufu meeengi tu kuliko wale wa nyuma. Sema pia ana faida zake na wema wake mwingii tu kuliko wale wa zamani.