Mpenzi wako unaona anamapungufu yapi?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Nachokijua binadamu wote tuna kasoro!kwa misingi hiyo wewe unaona nini kwa mpenzi wako au wapenzi uliowahi kuwa nao nini kasoro walizokuwa nazo?nawewe hukuzipenda?na ukilinganisha na uliyenaye sasa??je ni yupi unaona alikuwa bora zaidi japo haikuwezekana kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wako!!
 
ukianza kulinganisha hutakaa uweze kuyafurahia mapenzi suala ni kukubali ................kila shetani na mbuyu wake ,hakuna binadamu asiye na mapungufu suala huwa ni muda wa kumpata yule mnayeendana na kuweza kuvumilia/kujazia mapungufu yake huku akiendelea kujazia kule kwenye mapungufu yako.
 
Nachokijua binadamu wote tuna kasoro!kwa misingi hiyo wewe unaona nini kwa mpenzi wako au wapenzi uliowahi kuwa nao nini kasoro walizokuwa nazo?nawewe hukuzipenda?na ukilinganisha na uliyenaye sasa??je ni yupi unaona alikuwa bora zaidi japo haikuwezekana kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wako!!

kasoro: anakoroma ka treni!
 
mi sijawahi kubadilisha mpenzi na niliyenaye nikianza kutafuta kasoro zake sitampenda
 
hata uliye nae sasa. Utakuta ana mapungufu meeengi tu kuliko wale wa nyuma. Sema pia ana faida zake na wema wake mwingii tu kuliko wale wa zamani.
 
kila mmoja ulimpenda au ulikuwa naye kwenye mahusiano kwa wakti wake sasa ulinganishe ili iweje??
 
hata uliye nae sasa. Utakuta ana mapungufu meeengi tu kuliko wale wa nyuma. Sema pia ana faida zake na wema wake mwingii tu kuliko wale wa zamani.

Amekuambia hajawah kubadilisha mpnz,aliye nae ndio wa kwanza na wa mwisho
 
Better note coz hutakaa uenjoy tena mapenzi
Ni vizuri kutojua mapungufu yake ili uzidi kufall in love every day
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom