Mpenzi wako hajawahi kukuomba maji baada ya shughuli?

chaz beezz

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
217
841
Hii imekaaje wakuu Kuna pisi yangu moja hivi kila baada ya kuinyadua inaomba maji ya kunywa hata Kama hapo chumbani hakuna maji atakuomba ukamtaftie maji ulete anywe ndo show iendelee round nyingne mkishamaliza pia iyo round atakuomba maji Tena.

nishajaribu kumuliza kwanini kila baada ya tukinyaduana unaomba maji majibu yake anadai huwa ni Hali t inamtokea ya kujikuta anahitaj maji ya kunywa na kupelekea kuhisi kiu ya maji.

Ndio najiuliza kila siku jamani, so katika mastor ya hapa na pale kwa Hawa wanawake nishaskia pia wengi wao hunywa maji baada ya sex kwaajili ya kuvuruga mbegu za uzazi ili zisitungishe mimba Jambo ambalo niligundua halina ukweli kuhusu kunywa maji baada ya tendo kunasaidia usipate mimba.

Halafu pia ye maji unywa katika kipindi chote siyo tu kipindi cha siku za hatari Bali hata siku salama ambazo ndo za mnyaduano huru no hofu za mimba lakini bado anaomba maji Ayo so poa

Sasa kila nikipanga kunyaduana nae maji pembeni Lita zangu naandaa, siku nikisahau kuandaamaji af ni kaduu nae then utaskia babe naomba maji nikimwambi maji leo hamna atalalamika San

So hii imekaaje kupiga show hadi mtoto anaomba maji ndo kipimo tosha kuwa hapa mtoto nimewin kumsugua karidhika, kaenjoy au ni Hali t ya Hawa viumbe nisijipe kichwa saaana kwamba napiga show Hadi mtoto anaomba maji
 
Unatumia muda gani kwa round moja km ni zaidi ya 45 min basi umepiga kazi ya kumfanya anywe maji km ni chini ya hapo .....
 
brother vumbi lakongo linakuhusu katafute
Anakunywa maji ili apunguze munkali uliompandisha na umeyumba kumkidhisha haja mwili anaupooza ili asikutukane

Nahata kuacha wewe siunamuhonga na barabarani huna dafu

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Anazuia mimba.Maji baridi hupoza nguvu za manii kutunga mimba.zina nyodo sana hazitakagi baridi
 
Hii imekaaje wakuu Kuna pisi yangu moja hivi kila baada ya kuinyadua inaomba maji ya kunywa hata Kama hapo chumbani hakuna maji atakuomba ukamtaftie maji ulete anywe ndo show iendelee round nyingne mkishamaliza pia iyo round atakuomba maji Tena.

nishajaribu kumuliza kwanini kila baada ya tukinyaduana unaomba maji majibu yake anadai huwa ni Hali t inamtokea ya kujikuta anahitaj maji ya kunywa na kupelekea kuhisi kiu ya maji.

Ndio najiuliza kila siku jamani, so katika mastor ya hapa na pale kwa Hawa wanawake nishaskia pia wengi wao hunywa maji baada ya sex kwaajili ya kuvuruga mbegu za uzazi ili zisitungishe mimba Jambo ambalo niligundua halina ukweli kuhusu kunywa maji baada ya tendo kunasaidia usipate mimba.

Halafu pia ye maji unywa katika kipindi chote siyo tu kipindi cha siku za hatari Bali hata siku salama ambazo ndo za mnyaduano huru no hofu za mimba lakini bado anaomba maji Ayo so poa

Sasa kila nikipanga kunyaduana nae maji pembeni Lita zangu naandaa, siku nikisahau kuandaamaji af ni kaduu nae then utaskia babe naomba maji nikimwambi maji leo hamna atalalamika San

So hii imekaaje kupiga show hadi mtoto anaomba maji ndo kipimo tosha kuwa hapa mtoto nimewin kumsugua karidhika, kaenjoy au ni Hali t ya Hawa viumbe nisijipe kichwa saaana kwamba napiga show Hadi mtoto anaomba maji
Hawa wanawake huwa wana siri nzito rohoni cha kukushauri ni Pm namba yake nimuulize vizuri then ntakuja kukupa maelekezo
 
Back
Top Bottom