Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 49
Sijakupata hapa.Kwanini unasema hivyo na kwanini unataka kujua jinsia yangu.
Kwa sababu anahitaji uhuru zaidi wakati wa kuchangia mabandiko yako,Iam afraid,nothing personal.
Sijakupata hapa.Kwanini unasema hivyo na kwanini unataka kujua jinsia yangu.
tena kabla sijawasili na ni marufuku kumtajataja nikiwepo
Kwa sababu anahitaji uhuru zaidi wakati wa kuchangia mabandiko yako,Iam afraid,nothing personal.
Sio anahifadhi, sema mbona bado zipo? si huyo mwingine amezikuta pamoja na picha za jamaa?Sasa anahifadhi hizi picha za nini?
Huwa una mipointi mtu wangu acha kabisa.I love wan JF!
Yaani michango yote mliyotoa hapa mko shihi nami nimejifunza sana; naomba niseme kitu kimoja; huyu rafiki yako hana sababu ya kuumia ikiwa hajaliweka hili suala wazi kwa Mr. Asiumie on assumptions kwani kwa nmna moja anamkaribisha shetani na hili ndio tatizo. Mr aulizwe kwa upendo na unajua kweli sisi wanaume ni tuwapo kwenye ndoa tunatakiwa kulelewa kama wanenu wa kwanza; bado mie nagombezwa kwa kutupa tupa nguo kitandani! Sasa hutakiwi kuumia kwa hilo unanielekeza!
Lets think positively on this nawaunga wote wasemao ex-gf sio wife material angekuwa alipewa usukani.
Hivi jamani kwanini wanaume tu ndio walelewe kama watoto kwani wanawake hawahitaji kulelewa kama watoto?mi nadhani pande zote mbili zinahitaji kubembelzwa na kulelewa vizuri kama watoto wadogo.tuasche mifumo dume yakuaminisha wanawake kwamba mwanaume pekee ndio anahitaji kulelewa.I love wana JF!
Yaani michango yote mliyotoa hapa mko shihi nami nimejifunza sana; naomba niseme kitu kimoja; huyu rafiki yako hana sababu ya kuumia ikiwa hajaliweka hili suala wazi kwa Mr. Asiumie on assumptions kwani kwa nmna moja anamkaribisha shetani na hili ndio tatizo. Mr aulizwe kwa upendo na unajua kweli sisi wanaume ni tuwapo kwenye ndoa tunatakiwa kulelewa kama wanenu wa kwanza; bado mie nagombezwa kwa kutupa tupa nguo kitandani! Sasa hutakiwi kuumia kwa hilo unanielekeza!
Lets think positively on this nawaunga mkono wote wasemao ex-gf sio wife material angekuwa alipewa usukani.
huyu mwanaume atakuwa bado anampenda huyu demu wake wa zamani.
kama unataka kulelewa oa na wewe!!Hivi jamani kwanini wanaume tu ndio walelewe kama watoto kwani wanawake hawahitaji kulelewa kama watoto?mi nadhani pande zote mbili zinahitaji kubembelzwa na kulelewa vizuri kama watoto wadogo.tuasche mifumo dume yakuaminisha wanawake kwamba mwanaume pekee ndio anahitaji kulelewa.
haya ni mambo ya moyoni ati,
wewe unang'ang'ania picha, kumbe kuna chupi na shati anavaa alipewa na mtu wake, tena sio huyo mwenye picha.
sio black and white kiivo.
l like your comments,
most of your comments says something
about how smart and knowledgeable you are.
Unawqeza kumwambia kuwa unazitoa sio azitoe yeye, lakini inategemea jamaa yukoje, mijitu mingine inaweza kuona sasa huyu vipi....utakuwa unamjua mtu wako.
au kama vipi, kimya kimya unazitoa. halafu siku nyingine tu mkiwa na raha sana unaanzisha katopiki na mkiwa mnacheka cheka unamwambia kama zile picha za yule ex wako nimezichomelea mbali, nitaua mtu mimi anayetaka kukusalandia. sio umwambie nitakuua wewe ukisalandia.
Hivi jamani kwanini wanaume tu ndio walelewe kama watoto kwani wanawake hawahitaji kulelewa kama watoto?mi nadhani pande zote mbili zinahitaji kubembelzwa na kulelewa vizuri kama watoto wadogo.tuasche mifumo dume yakuaminisha wanawake kwamba mwanaume pekee ndio anahitaji kulelewa.
Unawqeza kumwambia kuwa unazitoa sio azitoe yeye, lakini inategemea jamaa yukoje, mijitu mingine inaweza kuona sasa huyu vipi....utakuwa unamjua mtu wako.
au kama vipi, kimya kimya unazitoa. halafu siku nyingine tu mkiwa na raha sana unaanzisha katopiki na mkiwa mnacheka cheka unamwambia kama zile picha za yule ex wako nimezichomelea mbali, nitaua mtu mimi anayetaka kukusalandia. sio umwambie nitakuua wewe ukisalandia.
Hii haitleta madhara.What if akaja kugundua kwamba havipo kabla hamjapata wasaa wakuwa na hiyo raha unayoisema?
Jamani tuache hii copy and paste theory,hii story niliisikia ikisimuliwa katika kituo kimoja cha redio kuwa kuna mtu imemtokea,sasa leo naiona humu,aaah tutafuteni threads zetu wenyewe!!Kuna rafiki yangu mmoja, analalamika na kuhuzunika kuwa mume wake bado anamiliki picha,maua,kadi na hata mashairi ya mapenzi aliyokuwa akitumiwa na mpenzi wake wa zamani.Huyu binti yuko kwenye ndoa kwa mwaka wa tatu sasa. Hivi vitu ni vya mpenzi wake wa zamani ambaye waliachana kabla ya kuwa na huyu rafiki yangu.Rafiki yangu huyu roho inamuuma kwani anahisi mumewe huenda akawa bado anampenda huyu mnyange wake wa zamani,anasema amevumilia sana.Mbaya zaidi mumewe na huyu mpenzi wake wa zamani wanafanya kazi ofisi moja hivyo hukutana karibu kila siku.
Hivi hii imekaaje,je huyu jamaa ni kweli bado anampemnda huyu mpenzi wake wa zamani?je binti avichome moto hivi vitu?