Mpenzi wako amekujaa kwabahati mbaya?

Mpenzi wako amekujaa kwabahati mbaya?

MKILINDI

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
986
Reaction score
1,515
Wana JF,
Hivi ni kweli katika hali ya kukua kwako ulishawahi kutamania mke/ mme/ boyfriend au girlfriend wako jinsi unavyotaka awe..? mathalani mrefu kidogo, mweusi ila sio tiiii nk, sasa njoo njoo kwnynreality huyo uliye nae ndie uliyemtazamia na ana sifa utakazo? au amekuja kwa bahati mbaya mkafundishana kupendana mpaka sasa mpo pamoja? kuna kutimia kwa ndoto hizo katika maisha ya mapenzi? to what extent?
 
mahusiano ya kimapenzi na hata hatima yake ndoa ni kama kazi au ajira.....unaweza kupata kazi katika mazingira mazuri lakin kazi ikawa si nzuri au ina malipo madogo.

unaweza ukapata kazi yenye mshahara mzuri lakini katika mazingira mabaya.

unaweza kupata kazi mbaya mazingira mabaya na ujira wake pia ni mdogo.

unawezakupata kazi nzuri,mshahara mzuri na mazingira mazuri na hili hili ni aghalabu sana tutokea na hata mahusiano ndiyo hivyo hivyo mf; uzuri wa umbo si uzuri wa tabia,au kimaumbile anaweza kuwa mzuri wa umbo la kati macho kichefuchefu, akawa ana miguu mizuri ila tumbo kama ana obesity,akawa ana makalio mazuri tazama miguu kama vijiti,anaweza akawa ana umbo lote zuri kuanzia nywele hadi ukucha lakini maumbile nyeti ya siri yakakukimbizi labda awe pambo la nyumba tu..... na hata kwa wanamume ni hivyo ingawa wanawake wao huvutiwa na akili na ustaarabu zaidi kuliko maumbile pia wapo wanawake wachache wenye kuvutwa na uzuri . Na hata hivyo wanamume wazuri ni wachache pia.:love:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom