KWA nchi ambazo zimepiga hatua kisayansi wanaheshimu na kufanyia kazi majibu ya autopsy ,pia justice system inafanya Kazi na inampa haki mwenye haki,ila kibongobongo Dr anaweza conclude natural death na ukahukumiwa vilevile[emoji28]wakuu kwema
huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuw na mahusiano na demu alafu baada ya week akaja getho kulala
asubuh unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki,unamtikisa unaona hatikisiki ,unammwagia maji haamki.unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni,unamgusa unakuta wa baridii
unagusa kifuan unashtuka mapigo ya moyo hayadundi.
je utatoka nje uwajuze majiran?? wataamin vipi kama n bahat mbaya
je utatoroka?? hapa utakuw umejivua utu na itaonekana kama ulikusudia
ukibak tena ni msala tena msala kwel kwel
wakulungwa leo tupige story hii inshu ikitokea we utafanyaje japo hatuombei itokee.
Labda huko alipo ilikuwa usiku, si unajua dunia duara.12:49 n usiku sana?????????
Kutupa mwili au sehemu ya mwili chooni, kwenye karo au mitaroni sikushauri. Kutupa mwili au sehemu ya mwili sehemu hizo sehemu hupeleka choo, karo na mtaro kuziba hivyo huhatarisha kuja kugundulika mapema.Acha ujinga weww mtumbukize chooni fasta alafu chukua simu yake kaitupe sokoni huko utakuja kunishukuru
Mheshiwa jiwe mwenyewe alikufa akiwa na wasaidizi pembeni
Ni issue ya protocol tuu wala usiogope kijana
Munazika tu.Kama ni mke wako?? Kafa inakuaje
Ushauri mubovu huumkatekate muweke kwenye begi ukamtupe polini,,, ila ukijifanya kutoa taarifa police itakura kwako ,,
Hamna case unless umeconduct murdererKama ni mke wako?? Kafa inakuaje
Kma ni natural death ur freee hakutokua na kesi coz she's ur wife jpo upelelezi utafanyika na mkeo kupimwa ikijulikana ni murderer tafuta wakili wako eleza unachojua ajue anakusaidiajeKama ni mke wako?? Kafa inakuaje
Nenda polisi toa taarifa. Mwili utapimwa mkuu.. simple kabisa hiyoWakuu kwema?
Huwa najiuliza sana mfano imetokea umekuwa na mahusiano na mwanamke halafu baada ya wiki akaja kwako kulala halafu asubuhi unamuamsha unataka uingie mishe mishe unashangaa haamki, unamtikisa unaona hatikisiki, unammwagia maji haamki. Unahamaki kuona anatokwa povu mdomoni, unamgusa unakuta wabaridi
Unagusa kifuani unashtuka mapigo ya moyo hayadundi. Je, utatoka nje uwajuze majirani? Wataamini vipi kama ni bahati mbaya
Je, utatoroka?? Hapa utakuwa umejivua utu na itaonekana kama ulikusudia
Ukibaki tena ni msala tena msala kwelikweli
Je, utafanyaje??
Itakura❌ itakula✅mkatekate muweke kwenye begi ukamtupe polini,,, ila ukijifanya kutoa taarifa police itakura kwako ,,