Mpenzi wake anataka wachat kila saa hadi imekua kero

Mpenzi wake anataka wachat kila saa hadi imekua kero

[emoji87] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wewe tena
 
Kuna mtu ameuliza swali la msingi hapa,jinsia yako na huyo rafiki yako ni zipi?
 
Kuna watu wana mambo ya ajabu kinoma. Nina rafiki yangu yaani hadi kaniomba ushauri mpenzi wake kila saa anataka wachat kila saa ni SMS tu na WhatsApp ndo usiseme. Asipomjibu au akichelewa kujibu SMS zinatumwa za manung'uniko kama 20 hivi eti ooh mbona kimya sijui nini au akiona ajibu mara aanze kubeep mara kupiga simu mara nyingi ilimradi kero.

Anasema anachomuudhi ni kuwa huyo mpenzi wake hajui muda wa kazi au maendeleo anawaza tu sex na mapenzi. Mtu gani asiyejua kwamba huu ni muda wa kazi au kufanya mengine? Muda wote ni SMS za mapenzi tu hadi kero. Mara aanze kukumbuka. Sijui walivyosex last time ageuze episode sasa. Asipojibu inaonekana sijui ana dharau, au ana mtu mwingine mpenzi gani anawaza kuchat toka saa 1 asubuhi mpaka saa 6 usiku?

Ushauri jamani maana rafiki yangu imefika hatua anataka kumuacha yaani aachane naye kabisa.

Aache kutoka na mademu wasiokuwa na shughuli ya kufanya
 
Hapo sasa naamza kuamini kumbe wanaume tuna face changamoto zinazofanana!!! Kiukweli Ku date na wanafunzi ni kero tena kerooooo mno wakuu !!!!! Though hawapendi sana pesa...ila shida yao ni kupenda sana kuchati hasa wakitoka prepal!!!! Kama kuna walimu kutoka while zifuatazo naomba waongeze sana inspection ya simu kwa wanafunzi wao....
1: machame girls
2:ashira
3:weluwelu na
4: st: maria goleth
Afu sometimes nawaza kwa jinsi shule hizi zilivyo na sheria kali...hizo simu wanapita nazo vip kwenye Yale mageti....
Anyway hata hivyo madent hasa wa f.5 na 6 wako bomba sana....
 
Tafta mwanamke mfanyakazi huo muda anautolea wapi ana KPI's za kuachieve
 
Back
Top Bottom