Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Kuna watu wana mambo ya ajabu kinoma. Nina rafiki yangu yaani hadi kaniomba ushauri mpenzi wake kila saa anataka wachat kila saa ni SMS tu na WhatsApp ndo usiseme. Asipomjibu au akichelewa kujibu SMS zinatumwa za manung'uniko kama 20 hivi eti ooh mbona kimya sijui nini au akiona ajibu mara aanze kubeep mara kupiga simu mara nyingi ilimradi kero.
Anasema anachomuudhi ni kuwa huyo mpenzi wake hajui muda wa kazi au maendeleo anawaza tu sex na mapenzi. Mtu gani asiyejua kwamba huu ni muda wa kazi au kufanya mengine? Muda wote ni SMS za mapenzi tu hadi kero. Mara aanze kukumbuka. Sijui walivyosex last time ageuze episode sasa. Asipojibu inaonekana sijui ana dharau, au ana mtu mwingine mpenzi gani anawaza kuchat toka saa 1 asubuhi mpaka saa 6 usiku?
Ushauri jamani maana rafiki yangu imefika hatua anataka kumuacha yaani aachane naye kabisa.