Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Siyo kila jambo mtu hufanya na ndugu, rafiki au na mpenzi wake.
kama unasemea ule utalii mwingine wa ndani hapo sawa....
Ila haya mambo mengine wala itoe tu familia yako,
Siyo kila jambo mtu hufanya na ndugu, rafiki au na mpenzi wake.
we acha kupenda vya bure, hiyo safari itakutokea puaniTunaenda wapi na wapi......? Mi nakuja......gharama zote juu yako eeeeehh.......!!?
we acha kupenda vya bure, hiyo safari itakutokea puani
lakini hata Kilwa ningependa kwenda. LOL