😃😃😃😃 duh hapo mpe ukweli wa moyo maana siku ukimtenda kisa huna hisia nae atatamani kujiua,,, ☺☺☺☺
Tupo wa tatu kwetu bro ndo wakwanza wapili mm watatu dg yupo form one...nw nyumbani tupo watatu mm...mama..na sster wa kazi......kumbuka tangu waanze mahusiano na kk hata miez 5 haija fika
kwani hilo ndo linazuia kuwaambia huyo ni wifi yao kwa kaka yako mkubwa, kwani kuja kwake home kaka akiwa hayupo ndo inafanya awe mtu wako.sema na wewe unataka kama huyataki yoye haya ungewaambia toka awali hii mali ya kaka mkubwa
Ukiskia bikra dume ndio ww, anakuvutia havutii wee chapa tuu, mii siangalii mvuto, sura wala nini ninachojali mimi awe na papuchi tuu kwisha habari yake. Jua mchagua jembe sii mkulima