Mpenzi wa kaka simuelewi

We ni mwanaume aseee.... uckute unamtamanimo ndo mana coz km kwel ni shemeji chumban anaft nn km c ww kumzoeshaa? Nyie mnajuana kwa vilemba bwana
 
We ni mwanaume aseee.... uckute unamtamanimo ndo mana coz km kwel ni shemeji chumban anaft nn km c ww kumzoeshaa? Nyie mnajuana kwa vilemba bwana

Bro wangu alikuja nae mara mbili room kwangua sasa mm nikashndwa mzuiaaa....fikilia hata ww kaka anaingia na yy yupo nyuma mm nitafanyaje
 
acha mazoea nae lasivo soon utamvua chup nakwambia ..
 
me nimekuelewa xana kaka na ni kwel unahitaj ushaul xema hapa jf kuna wa2 na via2 habar uxinge ilefusha me nisinge elewa hapa nimepata picha kwa hyo me naona mchane live tu hyo dem alaf ucngefuta yale mauchafu aliokua anaku2mia umwonyeshe brther ila c mbaya tabia ni kama ngoz ataludia madem wa hvo ambao hawa ji behave me nawachukia kama ukoma huyo xo dem man kimbia
 
Kijana unaniangusha, beba mzigo uwo cha kaka ndiyo chako, unapoteza muda kula vitu wew
 
Da komedi hazitoisha humu. Km ni wa kaka yako how come hujawahi kuwaambia kwenu? Hii inaonesha unamtamani sema unamuonea aibu.
 
nyumba yenu haina sitting room nn? hadi aingie chumbani kwako
 
hata mimi nimejiuliza kaka yu wapi, kwa nini ajawa mkweli kwa dada zake kwamba ni wifi yao kwa kaka yao. anazingua huyu kanjanja tu
 
mmmmhhhh gazeti kuuuubwaaa hadi uvivu una narrate kama wahenga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…