Mpenzi wa JF!!

Ukali kwani unahusu???Uzuri ni wa ndani sio wa nje bwana!!!

Du kweli umdhamiria ila babu kashasema tayar kwasababu umekubali matakwa yake ya kubadlisha avatar sasa si wengine si tusign out au bado unahitaji kutuchakachua mpaka upate??? basi poooouuuwa mi Mkali zaid yao maana vigezo vyote walivyotaja hao mi nimewazidi...........
 
Babu kakimbia...mpaka asema ai du ndo inakua ofisho!
 
Lizzy sijaelewa hapo wewe unatafuta nani bwabwa au wa mbele tu au wa kote kote? fafanu basi nimpigie pande Mchungaji
 
Unatumia kinywaji gani dear ili tuanze maongezi ya kiutu serious!
 
Lizzy sijaelewa hapo wewe unatafuta nani bwabwa au wa mbele tu au wa kote kote? fafanu basi nimpigie pande Mchungaji

Jamani wewe bwabwa nimpeleke wapi sasa???Huyo wa kote kote ondoa kabisaaaaa!!!Ila huyo mwingine anakaribishwa!
 
haya sasa nipo tayari njoo kwang baby lizzy unapoendelea kuzubaaa wengine watakuwahiii maana vigezo nlivyonavyo ni mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa

We nshakuona braza men sana!!!Maana unavyofagilia vigezo ulivyo navyo naogopa usinije ukanizidi nikapigwa bao la kisigino bure!!!Mi nataka saizi yangu sio zaidi yangu!!!
 
Mh huu utandawazi una mambo mazuri sana.!
Hii JF ishukuriwe vya kutosha manake ni suluhisho la tulio wengi kwa maisha ya leo kesho na siku zijazo.
 
Ahhh we sikutaki!!Unaonekana mchoyo kweli....hujawahi kutoa Thanks hata siku moja!!?

jamani sio kihivyo hicho kitufe cha thanks hata cjui kilipo,ushamba huu jamani c unajua mashokolo mageni embu nielekeze nikutwange kimoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom