Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

Mpenzi wa hivi tunamfanyaje

best the american dream unaongea nini tena? kuna tofauti ya kuomba na kupiga mizinga. wewe kila siku huna aaahh halafu kujenga kwake kunakihusu nini?? gangamala kiume

Since i know her that was my first time namuomba msaada,kama kusaidiwa na rafiki sio vizuri whats the meaning of friendship na namsubiri kwaa kwel!,nyumba mi wala sina tatizo nayo ni ya kwake nilisema nikirefer kuwa economically she is well tofauti na mimi lakini its ok muda utaongea.
 
Last edited by a moderator:
Loooooh!!!! mie kumpa mwanaume hela labda ya vidonge tu na tena awe na kisibitisho cha homa kali! otherwise hela yangu kwny pay slip bank.
 
Ushauri tuliopewa kinadada kutoka blog moja maarufu.

"Enyi wanawake tambueni.Kwa mila na desturi zetu za kiafrika nasema hivyo kwasababu ndo nizijuazo zingine sijui.Mwanaume anayekuomba hela wewe kila wakati angali naye ana kazi tena wakati mwingin nzuri zaid yako.Kimbia adi unyayo ufikie goti.

Hakuna mapenzi ndugu apo Huyo ni marioo na he is after money.

Na ndo mana anataka kumuoa mwenye pesa zaid Ondoka mamaa kabla hajakuingiza hasara zaidi.

Hebu kwa pamoja tushirikiane tutokomeze midume inayotamani kuwa treated like women.Imejaa tele mitaan hawana mapenzi wenyewe ni pesa."

MIMI BINAFSI MWANAMME MPYA AKINIOMBA KIPESA CHANGU AU AKATEGEA KULIPIA BILI FULANI SIO SIRI NAMWACHA KISAILENSA!!! N.B huyu ni mpenzi tu na sio mume wa ndoa!!! kiruuuuu

cc: Heaven on Earth tinna cute shikamoo Nyani Ngabu amu Bulldog Excel halafu OLESAIDIMU unapenda mteremko wewee

Kwani huyo mpenzi mpo nae watu wangapi?
 
Kuna wanaume wanapiga mizinga wanawake wanasubiri.
 
kuwa makini utabaki kuwastarehesha wanaume. tulia na ulie nae maisha yamebadilika life kusaidiana. why mmeiga maisha mengi ya mbele hilo mmeshindwa? kama nyie mamanzi wa TZ ni hodari kwa kuiga igenina hilo sio kuzoea kuletewa tu ndo maana mnakuwa hamna maamuzi .msiwe km nchi yenu inayotegemewa kila kitu kupewa mwisho wa siku hatuna maamuzi na nchi yetu tunaamliwa na wengine. think about that!
 
Since i know her that was my first time namuomba msaada,kama kusaidiwa na rafiki sio vizuri whats the meaning of friendship na namsubiri kwaa kwel!,nyumba mi wala sina tatizo nayo ni ya kwake nilisema nikirefer kuwa economically she is well tofauti na mimi lakini its ok muda utaongea.

Ooh now i get you.....
 
my dear nipo....mzima weye...?

nimekumiss pia mwaya.....nani alikuficha huyo?
 
hata mimi pia mwanamke anayepiga mizinga kila dakika huwa ananiboa sana!!!
unakuta anafanya kazi nzuri yenye kipato kikubwa ila kila kukicha ni ngendembwe mpya!!!!
mwanamke wa hivyo huwa namkimbia kisailensa!!!
 
The End... wanawake wazuri wote utawaita mashemeji kwa ubahili wako oooohoooooo
 
Last edited by a moderator:
Loooooh!!!! mie kumpa mwanaume hela labda ya vidonge tu na tena awe na kisibitisho cha homa kali! otherwise hela yangu kwny pay slip bank.

We ni hatari nimekupenda bure..sio siri haipendezi kabsaaa dume zima kuomba hela kwa mwanaume
 
umeona eeh dear. kuna jamaa niliwahi kudate nae kila ukikutana naye ni malalamiko mama yake anaproject hii anahitaji ampe pesa, mara mtoto wa kaka ananidai ada mara sijui niini alimradi nisipate chance ya kumwomba msaada kama mpenzi wangu. too much kulalamika
Mmmhhhhh unaonekana unapenda sana mteremko. Ww ndo wale mnaowafanya wapenz wenu ni baba zenu, yani kila kitu wawagharamie. Mnataka kila mnachofanya pamoja gharama alipe yy na sio ww. Mmmhhh mbadilike jaman.
 
Sijui hata unanza anzaje? najua wenye tabia hii ni wale wanaume wanojiona 'warembo'

Siyo warembo tu na wale wenye madushe makubwa! Kazi yao ni kujisifia nitaktmba vzr ukojoe goli 100! Mara babe naenda Jim nyoooooooo huku mfukoni kuna business cards za wanawake independent mji mzima! Very low!
A man that has SELF PRIDE won't ask a lady 4 money even when he is broke! Wanajiabisha mno mno! Very low!
 
Back
Top Bottom