Mpenzi wa bujibuji huyu...............

MziziMkavu umeona binti alivyo romantic? Sio mtu unakuwa na kimwanamke slake mpaka hujionei fahari kuwa naye. Mbuzi Mzee wahenga walisema jini likujualo halikuli likakwisha. Pia kofi la mpenzi haliumi. Kabali ninayopigwa mimi na wewe ziko tofauti sana. Kabali nikipigwa mimi inakuwa sealed with a kiss. Kabali utakayopigwa wewe itakuwa ile inayoitwa NIKANYAGE BAHATI MBAYA NIKUUMIZE MAKUSUDI
 
Last edited by a moderator:
humu jamii forum humu ukiwepo halafu ukakondeana lazima utakuwa na roho mbaya,bujibuji umenichekesha mpaka ofisini wamejua naangalia internet.
 
Kaka hainaga u shemeji? Natamani kolabo [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…