Mpenzi umpendae ...

Mpenzi umpendae ...

MtoMsimbazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2009
Posts
2,076
Reaction score
3,564
poleni na majukumu wana JF,
hivi ni kwanini mpenzi umpendae hakupendi na usiempenda ndiyo anakupenda?, hii hutokea kwa pande zote 2 KE ana ME, kwanini wengine wanafikia kuwa na mtu tu basi lakini anakuwa hampendi anampenda mwingine?..., hayo ni mawazo tu na hii niliiona kwa rafiki yangu, anampenda sn mkewe ila mwenzie anapojisikia ndiyo hata kumpigia cm ndiyo anafanya hivyo na si kwa kimahaba km watu wengine wanavyopendana nini sasa hapa kinachosababisha maisha haya???.
 
mpende anayekupenda asiyekupenda achana naye. kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport
 
ukinipenda njooo usiponipenda potea!
 
Mpende akupendae, asikupenda tambaa zako kama hiyo haitoshi basi tawala hisia zako
 
Tafuta au tengeneza mazingira ya kupendana na mwenzako, unaweza ukapendwa na mtu humpendi and vice versa..
 
Mkuu kuamua kuishi na mtu anaekupenda sana halafu wewe upendo kwake ni 0 hapo ni majanga, Ingawa wengi wanaamini kwamba bora kupendwa. Naona inafaa kama mkipendana manake hapo hakuna wa kumtesa mwenzie na ikumbukwe kama unapendwa sana na wewe hupendi huwa karaha na huleta usumbufu na maumivu kwa anaependa.
 
poleni na majukumu wana JF,
hivi ni kwanini mpenzi umpendae hakupendi na usiempenda ndiyo anakupenda?, hii hutokea kwa pande zote 2 KE ana ME, kwanini wengine wanafikia kuwa na mtu tu basi lakini anakuwa hampendi anampenda mwingine?..., hayo ni mawazo tu na hii niliiona kwa rafiki yangu, anampenda sn mkewe ila mwenzie anapojisikia ndiyo hata kumpigia cm ndiyo anafanya hivyo na si kwa kimahaba km watu wengine wanavyopendana nini sasa hapa kinachosababisha maisha haya???.

Tatizo kila mtu anafocus kwa kizuri zaidi hata yake mwenyewe! ndio maana unakuta naye hapendwi anakopenda, watu hawataki level zao ndugu yangu wanataka next level wakati wako previous level!
 
mpende anayekupenda asiyekupenda achana naye. kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport
Upendo unatokea naturally huwezi kusema leo nampenda julius kisa ananipenda, labda afanye vitu vinavyogusa moyo wako!!!!!!!!!! kidogo kidogo unampenda na hiyo ni kwenu wadada ila kwa wanaume atakutamaani first day na kukupenda hapo hapo akisha piga mambo either upendo utaongezeka or kupungua na pengine kusoma zero balance!
kwa hiyo sisi kukutamani ni first step, tukisha do ndio decision ya moyo inachukua nafasi!!!
 
Nakubaliana na ww kiasi fulani.


Upendo unatokea naturally huwezi kusema leo nampenda julius kisa ananipenda, labda afanye vitu vinavyogusa moyo wako!!!!!!!!!! kidogo kidogo unampenda na hiyo ni kwenu wadada ila kwa wanaume atakutamaani first day na kukupenda hapo hapo akisha piga mambo either upendo utaongezeka or kupungua na pengine kusoma zero balance!
kwa hiyo sisi kukutamani ni first step, tukisha do ndio decision ya moyo inachukua nafasi!!![/QUOTE
 
Sio lazima kila unapopenda na wewe upendwe kiasi kile kile,,ikikutokea ujue ngekewa
^^
 
Tafuta au tengeneza mazingira ya kupendana na mwenzako, unaweza ukapendwa na mtu humpendi and vice versa..

ukiona ivo ujue kuna kitu kaona kwako ndio sababu huwezi niambia mtu akupendi halafu mnagandana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom