neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,864
- 2,157
Habari za jion mabibi na mabwana!
Poleni na majukumu ya kutwa nzima.
PEOPLEEEEEEEEEEZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ !!!!!!!!........ source lara 1
Back to topic...... Hivi ukiwa na mpenzi au mwenza ambaye ana kipaji cha kusema uongo katika ishu mbalimbali za maisha mfano za kazi, za kujamiina (socialize) n.k Yani ambaye kimeo chochote kinachojitokeza hakosi jibu hata kama kaharibu anatengeneza uongo unaofanana na ukweli fasta, Je inamaanisha/inawezekana kuwa na katika mahusiano yenu anafanya hivyo hivyo???
Karibuni!

Last edited by a moderator: