Mpenzi mwenye ---- moja

Mh kweli ukistaajabu ya dar utayasikia ya mwanza,mi nataka kujua umemwaga au bado. Upo nae?
 
Eeeheeee
 
this is funny, you are very talented ma jerry @ story telling
 
Namuuliza unasikilizaga taarabu akasema nazipenda sanaaaaa mie nipo mmmh huyu senge huyuuu hana lolote hana cha unhcr wala baba tajiri wa sinza wala nini .......huu msukule tu

Wacha weeeeeeeeeeee
 
Mh kweli ukistaajabu ya dar utayasikia ya mwanza,mi nataka kujua umemwaga au bado. Upo nae?

sasa nawewe swali gani?
Mambo yote libolo ye haifanyi kazi sasa wa nini?
Kwa taarifa yako ma jery sahivi ana watoto jery na mdogo wake ambae ananyonya.
 
Last edited by a moderator:

we acha tu, tamaa hizi?shost naona alisahau kuwa hata UNHCR kuna office attendants,hapo unadhani watajitambulishaje kama si kusema wao ni wafanyakazi wa huko.

Kama vile uswahili ukisema unafanya kazi mgodini kila mtu anakuona una chapaa
 
Na hadithi imeishia hapo na hadi tunakwenda mitamboni ma jery hakurudi kumalizia
 
Last edited by a moderator:
Yaani ametuharibia pozi kabisa yana......amekata utamu penywe..

amenipm watoto wanasumbua atatumalizia kesho.
Mchana ulipitwa bibie soma thread hapa mmu maskini akipata matak.o hulia mbwata.
Mie hoi jamani.
Kwa niaba ya ma jery ni mie amu niliyekuwa nawapa break fupi na break fundi.
Niwatakie usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
amenipm watoto wanasumbua atatumalizia kesho.
Mchana ulipitwa bibie soma thread hapa mmu maskini akipata matak.o hulia mbwata.
Mie hoi jamani.
Kwa niaba ya ma jery ni mie amu niliyekuwa nawapa break fupi na break fundi.
Niwatakie usiku mwema

Oooookey kesho basi tujuzane muda na wakati.....marufuku kupitwa na uhondo......alamsiki mamie ngoja nihamie kuko kwa masikini akipata....nika ceremishe motes.
 
We majanga si ungesoma kimya kimya kisha ndoungetoa comment yako!! Umezingua ma jery kasepa kwa hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…