Mpenzi mwenye ---- moja

koku koku au alitoka kigoma na treni

Ha ha haa nawasi wasi alidandia fuso za kuunga unga lol...imagne ma miwani myeusi chumbani...yaani wa SIGIMBI kabisa mweeh!
 
ngoja nimalizie sasa nilikuwa nabembeleza watoto
 
Reactions: BAK
Kwani ukipm wakati ukiwa abroad zinakugomea? Utuletee dhawadi mwaya. Utarudi na ndege?
Pengine zinakataa au pm haionekani. Au huko abroad hawaruhusiwi pm mwee si unajua mambo ya security tena
 
AKAAANZA OOHO HONEY NAJUA UMENIONA NAJUA UTANIACHA MIE WALAAAA SIKUTAKA KUMWONYESHA KUWA MMMH HII SIO HII....NIKAMWAMBIA NI UUMBAJI WA MUNGU....AKANIAMBIA MIMI HUWA HAISIMAMI NIKAMWAMBIA HAKUNA NENO SWEET NIMEKUELEWA , NA tigo MOJA NDIVYO ULIVYOZALIWA AKAJIBU HAPANA NILIKATWA NIKIWA NAGOMBANA NA JAMAA ALIYEKUWA ANANIIBIA DEMU WANGU ALINIKATA tigo NA KIDOLE AKANIONYEA KIDOLE CHA PILI KUTOKA GUMBA KIPO NUSU EEEEH POLE SANA SWEET YAANI POLE MNOOO....USIJALI SIWEZI KUKUACHA........BASI TUKALALA
 
Usiku naamka naenda toilet yeye yupo fofooooo naaangalia viatu vyake sasa eeeh naona vina vumbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sana yani sana nikasema ndege gani hiii huyu kapanda mmmmmmh nikasema huyu ni wa hapa hapa.......tu
 
Kuchungulia sanduku lake kidoko nidondokeeeee ..................nikasema huyu nani???? Kuangalia simu nilikuwa naambiwa ni ya millioni mbili eeeh ilikuwa ni sony tu ya kawaida....eeeh nikasema huyu nani jamani ...........nduguzangu mie usiku ule ni balaaaaa sintausahau
 

eeeee uwii mbavu zangu mie leo
 
Mkojo sikukojoa na sikulala tena kumbuka tulilala kwenye saa saba na madakika kwa hiyo muda huo ilikuwa saa kumi na moja kasoro....sikulala tenaaaaaaaaaaaa.............nikajidai nakoroma....mara akaamka mie nikajidai nipo fofoooo gafla nasikia nyimbo za taarabu za khadija kopa ndo nikajiamsha kama nimeshtuka kumbe wapiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…