Mwanzoni hii kitu ilikuwa inanisumbua.
Nikijaribu kuipaisha ukivuta Gia ya Rimoti kiasi tu inapaa kwa kasi sana, na nikijaribu kuiBalance kwa kuwa imepaa kwa kasi basi lazima ipige chini kwa kishindo au kwenye Panga.
Ngoma ikipiga kwenye Panga Mara mbili, tatu, lazima ubadilishe Panga. Maana unaweza maliza Panga zote za Akiba na bado ikawa bado hakijaeleweka.
Sema ukishaijulia raha sana.
Unaichezea unavyotaka