Mpenzi Mtazamaji

Kumbukeni kuna mpiga picha, yawezekana ndo pair yake
Inakuwaje kama zile za kutegeshaπŸ˜€.

Au inakuwaje kama hapo Park kuna mpiga Picha maalum ambae Wateja wake ni maeneo hayoπŸ˜€.

Au inakuwaje kama kulikuwa na mpita njia wakamuomba awapige PichaπŸ˜€.

Au inakuwaje kama kuna mpita njia, au mdaku ameamua kuwapiga Picha bila ya wao wenyewe wahusika kujuaπŸ˜€
 
Duh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usifikirie tu kuwa anaepiga picha ndo mpnz wake kuliko kufikiri yote hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Drones ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…