Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,820
- 55,611
Ni sahihi kama ameridhia na muda anao
Wewe si unajitambuaBado saaana kumfanyia hivyo mwanaume!
Nawewe kupewa hela au kulipiwa baadhi ya bills au hata zote ni sawa?Habarini waungwana,
Hivi mpenzi ambaye hata kwenye uchumba hamjafikia bado kukupa majukumu ya mke yani ukienda umfulie, umpikie, umsafishie na nyumba hivi ni sahihi kwa mwanamke kufanya hayo
Maana kuna jirani yangu hapa yeye yupo na msichana ni wapenzi tu lakini kambebesha majukumu hayo na mbaya zaid binti wa watu atafua jion wanakuja kulalia wengine na saa nyingine huyo kijana atampigia simu kwa kufoka yaani kana kwamba ni lazima,
Eti waungwana ni sahihi kuyafanya hayo kwa mpenzi
Habarini waungwana,

Sawa kabisa.Hakuna tatizo kama bidada anafanya kwa mapenzi yake na si kwa kuwekewa mdomo wa bastola kichwani.
Hii haiwezi kuwa sababu ya kumchoka mtu. Kwahio akiwa mke anafua,anapika nae atachokwa?Unamfulia, unampikia , daaahhh rahisi kukuchoka na kwenda kuoa kwingine
Duh sema ex-shemeji mbona hukumfundisha mdogo wako tabia hii?Mfano mimi sipendi uchafu nikaenda kwake nikakuta pachafu, nitasafisha ili nkae pasafi sio kwasababu nahitaji kitu fulani. Nimekuta nguo zake chafu, nitafua tu kwasababu nampenda na najisikia fahari kufanya hivyo, nitapika kwasababu napenda tule home/fresh cooked food.
Yaani unakoseaga kwenye maswala ya pesa tu, mengine uko vizuri!Mapenzi ni makubaliano na vile mtu mwenyewe anapenda, kama wao wameridhia hakuna tatizo kabisaaa.
Mfano mimi sipendi uchafu nikaenda kwake nikakuta pachafu, nitasafisha ili nkae pasafi sio kwasababu nahitaji kitu fulani. Nimekuta nguo zake chafu, nitafua tu kwasababu nampenda na najisikia fahari kufanya hivyo, nitapika kwasababu napenda tule home/fresh cooked food.
Hata tukiachana sitojilaumu kwasababu nilifanya kwa mapenzi yangu na hata yeye kuna mengi tu mazuri ambayo itakuwa alinifanyia wakati nipo nae.
Usiniambie alikuwa hafanyi hivyo!! Nilimfundisha sana tu, sema alikuwa anakudekea.Duh sema ex-shemeji mbona hukumfundisha mdogo wako tabia hii?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani unakoseaga kwenye maswala ya pesa tu, mengine uko vizuri!