Mpenzi kukupa majukumu ya mke ni sawa?

Mpenzi kukupa majukumu ya mke ni sawa?

haya yanatisha..usipofanya atafanya mwingine ila si sawa...
 
Ni sawa kama mwanaume anasimamia show na majukumu kama Mumdm
 
Habarini waungwana,hivi mpenzi ambaye hata kwenye uchumba hamjafikia bado kukupa majukumu ya mke yani ukienda umfulie umpikie umsafishie na nyumba hivi ni sahihi kwa mwanamke kufanya hayo maana kuna jirani yangu hapa yeye yupo na msichana ni wapenzi tu lakini kambebesha majukumu hayo na mbaya zaid binti wa watu atafua jion wanakuja kulalia wengine na saa nyingine huyo kijana atampigia simu kwa kufoka yani kana kwamba ni lazima,eti waungwana ni sahihi kuyafanya hayo kwa mpenzi
Si sawa, si sawa kabisa na ni marufuku kufanya majukumu yasiyo ya kwako. Ila inafanywa hivi kwa sababu wanashiriki tendo la mume na mke kwa hiyo sishangai vingine vya kujitakia.
 
Nakushauri umueleze binti wa watu ukweli kuendelea kukaa kimya sio sawa afu pili kupewa majukumu hayo ni nyie wenyewe mnajirahisisha kwani papuchi inafaa apewe nani?si mume?ukinipa nashindwaje kukupa majukumu hayo wakati papuchi naifaidi daily?
Uko sahihi juu ya hili
 
Kwanza kuwa na uhusiano wa kingono kabla ya ndoa sio sawa kama kweli unataka kufuata kila kitu sawa.


Kama unafanya mengine ambayo sio sawa kwann hayo majukumu ndio yawe tatizo?!
Ukweli huu
 
Mbona wanaume tunagewa majukumu ya mume, baba, rafiki, fundi ujenzi, fundi seremala, mcheza x, mhasibu, mshauri hadi majukumu ya kikaka lakini hatuulizi kama ni sawa?
Sasa kumfulia mtu uliyempa majukumu yote hayo sioni tatizo.

Akili zao ni fupi.
 
Kama jamiii kuna sehemu ipo shida saana kuanzia kwenye makuzi yetu.

Elimu inayotolewa Ni ya darasani tuu elimu ya mahusiano plus sijui jando hamna.

Vijana wa nafanya vile wanavyoona wao sio kwa misingi au maadili yetu sio kwa sababu wanapenda Ila hawana elimu.

Wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Unamfulia, unampikia , daaahhh rahisi kukuchoka na kwenda kuoa kwingine
Sikupikii, sikufulii, sikusafishii nyumba.. Nikipika ujue nina njaa pia tunakula wote.. Tena nikipika kwako basi pika mboga mie kingine..
 
Sikupikii, sikufulii, sikusafishii nyumba.. Nikipika ujue nina njaa pia tunakula wote.. Tena nikipika kwako basi pika mboga mie kingine..
Unaakili mingi saana.

Wewe unakuja kwa show tuu....
 
Vipi na nyinyi wanawake kumtwisha mpenzi wako majukumu ya mzazi wako kama kukulipia ada ya chuo au matumizi yako makubwa ambayo mzazi wako angetelekeza?
 
Habarini waungwana,

Hivi mpenzi ambaye hata kwenye uchumba hamjafikia bado kukupa majukumu ya mke yani ukienda umfulie, umpikie, umsafishie na nyumba hivi ni sahihi kwa mwanamke kufanya hayo

Maana kuna jirani yangu hapa yeye yupo na msichana ni wapenzi tu lakini kambebesha majukumu hayo na mbaya zaid binti wa watu atafua jion wanakuja kulalia wengine na saa nyingine huyo kijana atampigia simu kwa kufoka yaani kana kwamba ni lazima,

Eti waungwana ni sahihi kuyafanya hayo kwa mpenzi
Sasa kama na huyo binti anapewa matunzo kama ya mke yaani kutunzwa kupewa hela kwa nn asipewe majukumu hayo?, wanawake wa siku hizi baadhi yenu mnapenda mtelezo sana. Yaani hela ukiomba unapewa halafu kufanya usafi tu tayari povu linakutoka
 
Sikupikii, sikufulii, sikusafishii nyumba.. Nikipika ujue nina njaa pia tunakula wote.. Tena nikipika kwako basi pika mboga mie kingine..
Wew unasema tu kwa sababu zamu bado, mbona utafanya tu kama anakuhudumia mahitaji yako then inapofika kwake kupata mahitaji toka kwako unagoma na gheto kwake unaenda kila siku sasa jiulize unaenda kwake kufanya nini?
 
Mimi kwa upande wangu hicho ni kipimo sahihi kwa WIFE MATERIAL
 
Anaombaga hela huyo mwanamke? Mambo mengine unafanya km kumsaidia mwanaume wako sasa ukifanya kwa sababu zako mwenywe utapata shida...ni sawa ugongwe miaka 3 hlf mtu aoe mwingine utoke povu kijinga jinga wkt wote mmepoteza mda...na wote mmecheazana sema yeye kaona hautoshi
 
Back
Top Bottom